SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Barikiwa sana nduguNa ndiyo mwisho wangu leo wa kutoa sadaka, zaka au fedha yoyote kwenye kikapu chochote cha kanisa katoliki. nitawapelekea mayatima na maskini barabarani...
Eee Mwenyenzi Mungu Nisaidie!
Lazima kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia, ambacho mimi na wewe hatukijui. Sisi tunawaona wana siasa maarufu akina Magufuli na akina Tundu Lissu; wao wanaona zaidi ya hapo, na wanajua zaidi ya hayo. Muwe mnaangalia matukio. Usiku wa tarehe 12.08.2020 kumetokea nini? Mnakula maandazi tu bila hata kuangalia mambo mengine yanakwendaje?Ukweli viongozi wa dini wamefanya jambo la hovyo sana . Kwanza hawakupaswa kuwa hivyo
wanaona nini bana na wewe!! hamna lolote ni ubatili tu. watu , wanatekwa wanauliwa wanapotezwa hawasemi lolote leo useme eti kuna wanaloliona?! lipi hilo zaidi ya uhai?Lazima kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia, ambacho mimi na wewe hatukijui. Sisi tunawaona wana siasa maarufu akina Magufuli na akina Tundu Lissu; wao wanaona zaidi ya hapo, na wanajua zaidi ya hayo. Muwe mnaangalia matukio. Usiku wa tarehe 12.08.2020 kumetokea nini? Mnakula maandazi tu bila hata kuangalia mambo mengine yanakwendaje?
Umenena vema mkuu.Ni vizuri kusema/kusemwa mazuri yake lakini ikubali kusemwa mabaya yake ili kujirekebisha. wakitokea viongozi wengine wa dini wakakosoa mabaya yake wasisemwe kuwa wanafanya siasa na wakakamatwa na kutiwa ndani pamoja na kufunguliwa kesi. Ni bora mtu akuseme mabaya ili ujirekebishe kwani mazuri yanaonekana na hakuna haja sana kuyasemea.
Sikuwaona mkuuAskofu wangu Ruwaichi nae yupo? RC wamepeleka mwakilishi? Kama wapo nitapunguza zaka na sadaka kanisani..nitaongeza nguvu kwa vituo vya watoto yatima! Shame on them...
nitamshukuru sana Mungu kama ni kweli RC wamejitenga na uovu huu. Kwa historia ndefu na mapito lukuki ya imani Katoliki ni aibu na fedheha kubwa kwa Mama Kanisa Katoliki kujihusisha kwenye aibu za aina hii. Acha hao kina kakobe wafanye haiumi sana lakini si Mama Kanisa KatolikiSikuwaona mkuu
usiwe kipofu, angalia matukio
Bangi! Opium! Nitawauliza Malasusa na Kakobe.Upumbavu mtupu.
"Die Religion ist das Opium des Volkes" - Kar Marx.
(religion is the opiate of the masses)
Ooooh asante mkuu Kwa sahihisho, Mungu ana jambo lake hapo October 28Ni wenye ukoma wanne tu mkuu, siyo kumi.
Nakuunga mkono kuna jambo kubwa sana litatokea
Hilo kongamano limenisikitisha sana. Ni dhahiri viongozi wa dini wanaonesha upande. Namuunga mkono JPM lakini hii ni too much. JPM hahitaji yote haya kushinda