Uchaguzi 2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Karibu.

Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.

Up dates;

Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5

Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea nzige wa hatari kuishia mpakani kwa nchi jirani na wasiingie kwetu kadhalika Corona ikatoweka.

=====

TANZANIA NI YA KWANZA AFRIKA KWA KUSAMBAZA UMEME HADI VIJIJINI – WAZIRI.

ead7d459-db64-45b6-8dd3-7efaae3d96b9.jpg
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2c37917c-f9f1-4f39-b252-934d090b7966.jpg
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Abubakar Kunenge wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. Wa pili kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3ce2692b-0b5f-4ed1-9ef0-f33e35babdc3.jpg
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospal Bibble Fellowship, Zakary Kakobe akizungumza katika Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
a40430db-f6a0-4fc7-ae48-477f5ae07db1.jpg
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally akizungumza katika Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

====

Habari zaidi..
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80.
“Leo hii Tanzania ni ya kwanza barani Afrika kwa kusambaza umeme kote nchini hadi vijijini na kufikisha asilimia 80. Kuna nchi ngapi barani Afrika, lakini Tanzania imefanikiwa kuwa ya kwanza. Tumeweza kufikia vijiji 9,112 Tanzania na hadi Aprili 2020 na tumetumia shilingi trilioni 2.27,” amesema.

Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatatu, Agosti 17, 2020) wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwenye mkutano wa viongozi wa dini kutoka kamati za amani za mikoa mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na viongozi waliohudhuria mkutano huo uliandaliwa ili kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika ustawi wa amani, uzalendo na kumtanguliza Mungu, Waziri Mkuu amesema ushirikiano mkubwa wanauonesha kwa Serikali, umewezesha kufanya mambo mengi ikiwemo kuimarisha huduma za upatikanaji wa nishati kwa ajili ya ustawi wa Watanzania.

Mbali ya upatikanaji wa umeme nchini, Waziri Mkuu ameelezea mambo mengine 15 yaliyofanyika kwa ufanisi mkubwa chini ya uongozi wa Dkt. Magufuli ikiwemo kurejesha nidhamu na uwajibikaji katika utumishi wa umma; mapambano dhidi ya dawa za kulevya; ulinzi wa raslimali za Taifa; kuimarika kwa ukusanyaji wa mapato na kukua kwa uchumi.

Mengine ni mapambano dhidi ya umaskini na ukosefu wa ajira; ukarabati na ujenzi wa miundombinu ya afya; maboresho ya elimu; huduma za maji; ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Nyerere, ujenzi wa mradi wa reli kwa kiwango cha kimataifa (SGR); usafiri wa anga; ujenzi wa meli na bandari na ujenzi wa barabara na madaraja.

Akielezea kuhusu kuondoa umaskini na ukosefu wa ajira, Waziri Mkuu amesema kupitia sekta kuu za viwanda, kilimo, biashara, madini, utalii, miundombinu ya kimkakati pamoja na mifumo ya mikopo nafuu, Serikali imezalisha ajira za kutosha kwa Watanzania.

“Kupitia ujenzi wa viwanda vipya, tumetengeneza jumla ya ajira zipatazo 482,601 na kupitia utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya SGR, Stieglers’ Gorge, ujenzi wa shule, hospitali na ufufuaji wa mashirika yetu tumefanikiwa kutengeneza ajira zipatazo 6,032,299.”

“Tunao uwezo wa kuhimili ujenzi wa viwanda vipya na nipende kuwahakikishia wenye mitaji kwamba Tanzania ni mahali salama pa kuwekeza. Tulianza na mazao matano ya kimkakati lakini sasa tumeyaongeza. Kupitia kilimo tunazalisha mazao ambayo ni malighafi kwa viwanda vyetu,” amesema.

“Suala la ajira ni kilio cha wote lakini kila nchi inatumia njia yake kukabliana nayo. Je tusingekuwa na miradi ya kimkakati kama SGR na Stieglers’ Gorge, hawa watu milioni sita na zaidi wangekuwa wapi kwa sasa?”

Mapema, akitoa wasilisho la viongozi wa dini, Katibu wa Kamati ya Amani, Askofu Jackson Sosthenes alisema lengo la mkutano wao ni kumpongeza Rais Magufuli kwa hatua iliyofikiwa ambayo Tanzania imefikia kabla ya mwaka 2025, kina miatno kabla ya muda uliopangwa.

“Viongozi wa Serikali ya awamu ya tano wameweza kufikia matarajio ya wengi na wamekuwa siyo watu wa maneno mengi. Siri ya yote hayo ni kumtanguliza Mwenyezi Mungu kama ilivyosemwa kwwenye maandiko matakatifu kwamba mtafuteni kwanza Mungu na mengine yote mtazidishiwa,” amesema.

Akitoa tamko la viongozi wa dini, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani, Sheikh Alhad Mussa alisema ujasiri wa Rais Magufuli wa kutozuia ibada na kukata kufungia watu ndani (lockdown), ulimpendeza Mwenyezi Mungu na akaamua kuifanya Tanzania kuwa nyota inayong’ara ulimwenguni.

Kuhusu uchaguzi mkuu ujao, Sheikh Alhad alisema: “Viongozi wa dini hatuko tayari kushuhudia uvunjifu wa amani ukitendeka nchini. Tunawaomba viongozi wa saisa wahakikishe wanalinda amani yetu na mshikamano wetu.”

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeiry ambaye alikuwa wa kwanza kutoa salamu za viongozi wakuu wa dini, alisema mtu mwenye akili anahitaji pointi ndogo tu kuona kinachofanywa na Rais Magufuli. “Mambo aliyoyafanya Mheshimiwa Rais kwa nchi yetu hayahitaji kufikiri sana kwa sababu yako dhahiri. Amefanya kazi kubwa ndani ya miaka mitano, ambayo yangeweza kufanyika kwa miaka 25.”

Naye Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa alisema amani ndiyo msingi wa maendeleo yote. “Amani ni mtaji wa maendeleo. Ukiwa na fedha lakini kama hakuna amani, haziwezi kukusaidia chochote.”
“Viashiria vya ukosefu wa amani hatuvipendi, na tunaviombea vitoweke katika jina la Mungu,” alisema na kuongeza kuwa viongozi wa siasa watambue kuwa yako maisha wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.

“Sisi viongozi wa dini tutaendelea kuiombea nchi yetu. Mungu anaipenda sana Tanzania, na hata tulipopita kwenye bonde la uvuli wa mauti la COVID 19, bado alituvusha. Tuendelee kumheshimu Mungu, kumtii na tuendelee kumwabudu Mungu,” alisisitiza.

Akizungumza kwa niaba ya Mufti wa Zanzibar, Sheikh Nooman Jongo alisema zamani Tanzania iliathiriwa sana mambo matatu ya udini, ukabila na uchama lakini kwa sasa hayapo. “Ukiwa Mkristo au Muislamu unapaswa utambue kuwa sisi sote ni ndugu wa baba mmoja, ambaye ni Ibrahimu. Tuangalie amani na upendo na yaliyofanywa na Rais John Pombe Magufuli hayahitaji tochi ili uyaone,” alisema.

Naye Askofu Michael Hafidhi wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Zanzibar aliwataka viongozi wa vyama vya siasa waache kuwasema wenzao vibaya na kutumia majina ya maaskofu na sheikh kwa manufaa yao binafsi.

“Zamani tulikuwa na siasa chafu, siasa za majitaka. Je sasa hivi zinatoka wapi? Tafadhali tusirudi tena kule nyuma. Wako baadhi ya viongozi wa siasa, wakipanda majukwani wanawasema wenzao, waache mara moja.”

“Tena kuna wanatumia majina ya Masheikh na Maaskofu vibaya. Msitufanyie reference katika majukwaa yenu kwa sababu sisi tunafanyiwa reference na Mwenyezi Mungu. Wakiendele kututumia, wajue tunahesabu zao siku,” alisema.

Naye Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Amani, Mchg. George Fupe alisema wanatoa tamko kwa wagombea wote watakaoenda kujinadi kwenye kampeni ili kutunza amani ya nchi ya Tanzania.
“Tamko letu kwa wagombea wote, lina mambo matatu: Tunawataka wamtangulize Mungu katika utendaji wao, pili watumie busara na hekima wawapo na tatu wazingatie utu wema.”
Yohana Mbatizaji naomba unijibu swali langu- Sheikh Sharif Majini nae ni kiongozi wa dini???

Hao ni wafanyabiashara wa Dini sio viongozi wa Dini!!
 
Hujui......Yeyote akiwa upande wetu, huyo siyo kinyume chetu....sijui.....Watu mnawafokea viongozi wa dini bure, wakati hamjapewa madaraka ya nchi mmetangaza maombi kwa njia ya Mungu katika karne ya sasa ni upuuzi! Vilevile wanasema vitabu vya dini vipo duniani kuwapumbaza watu! Hata hivyo wacheni kuwa wanafiki, viongozi wa dini wakiwa upande wenu hapo hakuna shida ( Mchungaji Msigwa), sasa je! Na yeye waumini wake si watagawanyika? Wasimpe sadaka! Tufike mahali wa TZ tuache unafiki, Ohoo! Rais gani huyu hata havumilii na kuyatendea kazi mawazo ya watanzania....na sasa tuone kama na nyinyi mtavumilia na kuyatendea kazi mawazo ya viongozi wa dini, hapo tutajua nani ni MNAFIKI.
 
Viongozi wa dini sisi waumini tupo nyuma yenu.nyinyi mnaongozwa na roho wa Mungu,mema mnayofanya hakika ni miongozo iliyobarikiwa na Muumba mbingu na nchi.
Mungu awaongoze mzidishie upendo wenu kwa Rais wetu kipenzi JPM.
Hata Hitler wakati wa utawala wake walikuwepo waliojiita viongozi wa dini waliokuwa wanatumika kumsifu na kumuabudu Hitler na wauaji wenzake
 
Hutaki Serikali iseme mazuri yake?
Ni vizuri kusema/kusemwa mazuri yake lakini ikubali kusemwa mabaya yake ili kujirekebisha. wakitokea viongozi wengine wa dini wakakosoa mabaya yake wasisemwe kuwa wanafanya siasa na wakakamatwa na kutiwa ndani pamoja na kufunguliwa kesi. Ni bora mtu akuseme mabaya ili ujirekebishe kwani mazuri yanaonekana na hakuna haja sana kuyasemea.
 
Wote hao kina Malasusa na Sheikh Hadji wamekuwa "blackmail catch" , mfano Malasusa is paying for his "sex scandals" while Hadji was fixed in his 'sodomy scandal" , jamaa wahuni sana ....waliwafix halafu baadaye wakajifanya wanawasaidia ....so they are now in slavery ...hawawezi kufanya jambo tofauti na hapo .
 
Hata kama wanachofanya ni sahihii lakini sio WAKATI sahii hata kidogo. Na wao ilibidi walione hilo, maana sasa wanakuwa kama sehemu ya kampeni kitu ambacho kimetia doa sana mkutano huu. Kama ni kumshukuru walishafanya sana sasa mkutano huu haukuwa muda wake.
 
Karibu.

Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.

Up dates;

Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5

Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea nzige wa hatari kuishia mpakani kwa nchi jirani na wasiingie kwetu kadhalika Corona ikatoweka.

=====

TANZANIA NI YA KWANZA AFRIKA KWA KUSAMBAZA UMEME HADI VIJIJINI – WAZIRI.

ead7d459-db64-45b6-8dd3-7efaae3d96b9.jpg
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2c37917c-f9f1-4f39-b252-934d090b7966.jpg
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Abubakar Kunenge wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. Wa pili kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3ce2692b-0b5f-4ed1-9ef0-f33e35babdc3.jpg
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospal Bibble Fellowship, Zakary Kakobe akizungumza katika Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
a40430db-f6a0-4fc7-ae48-477f5ae07db1.jpg
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally akizungumza katika Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

====

Habari zaidi..
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80.
“Leo hii Tanzania ni ya kwanza barani Afrika kwa kusambaza umeme kote nchini hadi vijijini na kufikisha asilimia 80. Kuna nchi ngapi barani Afrika, lakini Tanzania imefanikiwa kuwa ya kwanza. Tumeweza kufikia vijiji 9,112 Tanzania na hadi Aprili 2020 na tumetumia shilingi trilioni 2.27,” amesema.

Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatatu, Agosti 17, 2020) wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwenye mkutano wa viongozi wa dini kutoka kamati za amani za mikoa mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na viongozi waliohudhuria mkutano huo uliandaliwa ili kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika ustawi wa amani, uzalendo na kumtanguliza Mungu, Waziri Mkuu amesema ushirikiano mkubwa wanauonesha kwa Serikali, umewezesha kufanya mambo mengi ikiwemo kuimarisha huduma za upatikanaji wa nishati kwa ajili ya ustawi wa Watanzania.

Mbali ya upatikanaji wa umeme nchini, Waziri Mkuu ameelezea mambo mengine 15 yaliyofanyika kwa ufanisi mkubwa chini ya uongozi wa Dkt. Magufuli ikiwemo kurejesha nidhamu na uwajibikaji katika utumishi wa umma; mapambano dhidi ya dawa za kulevya; ulinzi wa raslimali za Taifa; kuimarika kwa ukusanyaji wa mapato na kukua kwa uchumi.

Mengine ni mapambano dhidi ya umaskini na ukosefu wa ajira; ukarabati na ujenzi wa miundombinu ya afya; maboresho ya elimu; huduma za maji; ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Nyerere, ujenzi wa mradi wa reli kwa kiwango cha kimataifa (SGR); usafiri wa anga; ujenzi wa meli na bandari na ujenzi wa barabara na madaraja.

Akielezea kuhusu kuondoa umaskini na ukosefu wa ajira, Waziri Mkuu amesema kupitia sekta kuu za viwanda, kilimo, biashara, madini, utalii, miundombinu ya kimkakati pamoja na mifumo ya mikopo nafuu, Serikali imezalisha ajira za kutosha kwa Watanzania.

“Kupitia ujenzi wa viwanda vipya, tumetengeneza jumla ya ajira zipatazo 482,601 na kupitia utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya SGR, Stieglers’ Gorge, ujenzi wa shule, hospitali na ufufuaji wa mashirika yetu tumefanikiwa kutengeneza ajira zipatazo 6,032,299.”

“Tunao uwezo wa kuhimili ujenzi wa viwanda vipya na nipende kuwahakikishia wenye mitaji kwamba Tanzania ni mahali salama pa kuwekeza. Tulianza na mazao matano ya kimkakati lakini sasa tumeyaongeza. Kupitia kilimo tunazalisha mazao ambayo ni malighafi kwa viwanda vyetu,” amesema.

“Suala la ajira ni kilio cha wote lakini kila nchi inatumia njia yake kukabliana nayo. Je tusingekuwa na miradi ya kimkakati kama SGR na Stieglers’ Gorge, hawa watu milioni sita na zaidi wangekuwa wapi kwa sasa?”

Mapema, akitoa wasilisho la viongozi wa dini, Katibu wa Kamati ya Amani, Askofu Jackson Sosthenes alisema lengo la mkutano wao ni kumpongeza Rais Magufuli kwa hatua iliyofikiwa ambayo Tanzania imefikia kabla ya mwaka 2025, kina miatno kabla ya muda uliopangwa.

“Viongozi wa Serikali ya awamu ya tano wameweza kufikia matarajio ya wengi na wamekuwa siyo watu wa maneno mengi. Siri ya yote hayo ni kumtanguliza Mwenyezi Mungu kama ilivyosemwa kwwenye maandiko matakatifu kwamba mtafuteni kwanza Mungu na mengine yote mtazidishiwa,” amesema.

Akitoa tamko la viongozi wa dini, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani, Sheikh Alhad Mussa alisema ujasiri wa Rais Magufuli wa kutozuia ibada na kukata kufungia watu ndani (lockdown), ulimpendeza Mwenyezi Mungu na akaamua kuifanya Tanzania kuwa nyota inayong’ara ulimwenguni.

Kuhusu uchaguzi mkuu ujao, Sheikh Alhad alisema: “Viongozi wa dini hatuko tayari kushuhudia uvunjifu wa amani ukitendeka nchini. Tunawaomba viongozi wa saisa wahakikishe wanalinda amani yetu na mshikamano wetu.”

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeiry ambaye alikuwa wa kwanza kutoa salamu za viongozi wakuu wa dini, alisema mtu mwenye akili anahitaji pointi ndogo tu kuona kinachofanywa na Rais Magufuli. “Mambo aliyoyafanya Mheshimiwa Rais kwa nchi yetu hayahitaji kufikiri sana kwa sababu yako dhahiri. Amefanya kazi kubwa ndani ya miaka mitano, ambayo yangeweza kufanyika kwa miaka 25.”

Naye Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa alisema amani ndiyo msingi wa maendeleo yote. “Amani ni mtaji wa maendeleo. Ukiwa na fedha lakini kama hakuna amani, haziwezi kukusaidia chochote.”
“Viashiria vya ukosefu wa amani hatuvipendi, na tunaviombea vitoweke katika jina la Mungu,” alisema na kuongeza kuwa viongozi wa siasa watambue kuwa yako maisha wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.

“Sisi viongozi wa dini tutaendelea kuiombea nchi yetu. Mungu anaipenda sana Tanzania, na hata tulipopita kwenye bonde la uvuli wa mauti la COVID 19, bado alituvusha. Tuendelee kumheshimu Mungu, kumtii na tuendelee kumwabudu Mungu,” alisisitiza.

Akizungumza kwa niaba ya Mufti wa Zanzibar, Sheikh Nooman Jongo alisema zamani Tanzania iliathiriwa sana mambo matatu ya udini, ukabila na uchama lakini kwa sasa hayapo. “Ukiwa Mkristo au Muislamu unapaswa utambue kuwa sisi sote ni ndugu wa baba mmoja, ambaye ni Ibrahimu. Tuangalie amani na upendo na yaliyofanywa na Rais John Pombe Magufuli hayahitaji tochi ili uyaone,” alisema.

Naye Askofu Michael Hafidhi wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Zanzibar aliwataka viongozi wa vyama vya siasa waache kuwasema wenzao vibaya na kutumia majina ya maaskofu na sheikh kwa manufaa yao binafsi.

“Zamani tulikuwa na siasa chafu, siasa za majitaka. Je sasa hivi zinatoka wapi? Tafadhali tusirudi tena kule nyuma. Wako baadhi ya viongozi wa siasa, wakipanda majukwani wanawasema wenzao, waache mara moja.”

“Tena kuna wanatumia majina ya Masheikh na Maaskofu vibaya. Msitufanyie reference katika majukwaa yenu kwa sababu sisi tunafanyiwa reference na Mwenyezi Mungu. Wakiendele kututumia, wajue tunahesabu zao siku,” alisema.

Naye Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Amani, Mchg. George Fupe alisema wanatoa tamko kwa wagombea wote watakaoenda kujinadi kwenye kampeni ili kutunza amani ya nchi ya Tanzania.
“Tamko letu kwa wagombea wote, lina mambo matatu: Tunawataka wamtangulize Mungu katika utendaji wao, pili watumie busara na hekima wawapo na tatu wazingatie utu wema.”
Hivi huyu Kakobe alishapewa urai wa Tanzania?
 
Kweli siasa SI HASA. Kuna viongozi wa dini na waumini wanaowaongoza ambao wana ufuasi wa kisiasa tofauti lakini viongozi wanaonesha wanaegemea wapi hata kama jambo(event) lipo kiserikali? Mafungu ya 10 yataendelea kutolewa na wale wengine hata kama ni jambo la kiimani?
Hakuna viongozi wa dini hapo hao ni viongozi wa matumbo yao tu.
 
naomba mnijuze kama kanisa katoliki lipo hapo unafikini...
Watanzania tumeuliwa
Watanzania tumetekwa
Watanzania tumedhulimiwa mali zetu kinyume cha sheria na taratibu...

Kama kweli Mama Kanisa Katoliki yupo kwenye huo udhulumati nijulisheni, sintokaa nikanyage tena kanisani na hata nikikanyaga hawatokaa waine shillingi tano yangu

Watanzania wanyimeni sadaka na zaka hawa wahuni; wanakula sadaka wanavimbiwa na kwa dharau wanatutapikia ufundo mtupo sisi tunaowashibisha kwa sadaka zetu tunazoziokoteza kwa jasho na damu katikati ya mateso na dhuluma za serikali hii. Watanzania tuwakataeni..Sadaka iwe mwiko kutoa na hata makanisani tuasi kwenda. tuchukue hatua sasa.

Naomba watu wote wema na wapenda haki tufanye kampeni kabambe ya kuzikataa hizi dini fake...madhulumati wakubwa.
 
Njaa mbaya sana.
Si vibayakwa viongozi wa dini kuwaombea na kuwashauri viongoziwa serikali. Tatizo hapa ni kwamba sehemu kubwa ya hawa viongozi wa dini wanajipendekeza kwa serikali hili kulinda matumbo yao na si vinginevyo.
Pia si vibaya hao viongozi kuwa wanachama wa chama fulani, lakini kutokana na wajibu wao kwa wahumini wao, ingekuwa vizuri kutoegemea upande wowote kwani wahumini wao ni wanachama wa vya tofauti, sasa wanapoonesha uelekeo fulani, itawagawawahumini wao
 
naomba mnijuze kama kanisa katoliki lipo hapo unafikini...
Watanzania tumeuliwa
Watanzania tumetekwa
Watanzania tumedhulimiwa mali zetu kinyume cha sheria na taratibu...

Kama kweli Mama Kanisa Katoliki yupo kwenye huo udhulumati nijulisheni, sintokaa nikanyage tena kanisani na hata nikikanyaga hawatokaa waine shillingi tano yangu

Watanzania wanyimeni sadaka na zaka hawa wahuni; wanakula sadaka wanavimbiwa na kwa dharau wanatutapikia ufundo mtupo sisi tunaowashibisha kwa sadaka zetu tunazoziokoteza kwa jasho na damu katikati ya mateso na dhuluma za serikali hii. Watanzania tuwakataeni..Sadaka iwe mwiko kutoa na hata makanisani tuasi kwenda. tuchukue hatua sasa.

Naomba watu wote wema na wapenda haki tufanye kampeni kabambe ya kuzikataa hizi dini fake...madhulumati wakubwa.
Lipo
 
Tukiacha kutoa sadaka watatia akili,kwanza ni wahujumu uchumi wanakusanya mapato bila kulipa kodi.
 
Na turudi kwenye dini zetu za asili maana sasa huu ni utopolo
yan kabisa. nakuhakikishia sisi ndo tunaowapa kiburi hawa wezi na madhulumati..tunawapa pesa wanakula mpaka wanavimbiwa halafu wanatuona mapimbi sisi tunaoteswa na mifumo kandamizi. mwenye shibe hamjui mwenye njaa..hawajui tunavoumizwa sababu wao hawaumii kutafuta chakula..ni sisi ndiyo tunaowapelekea...dawa ni kuwanyima na kujitenga nao.
 
Mungu wa isacka,Yacobo,Yohana ndo Mungu aliewapa hekima na busara viongozi wetu wa dini kuamua kukutana na Rais wetu kipenzi Rais Magufuli.
Yangefanyika haya wakati wa kumuaga ingekuwa ni sawa kabisaa.Lakini kuyafanya eti anaelekea uchaguzi(rejea kichwa cha habari cha mkutano) ni jambo baya sana dini kuonyesha upande zilikolalia kisiasa!!
 
Wangezuga tu kwenye dhumuni la mkutano kua ni kuliombea taifa kuelekea uchaguzi. Ingeweka mambo sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom