Mkutano wa vyombo visivyo na rubani wafunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China

Mkutano wa vyombo visivyo na rubani wafunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China.

Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China, na Kituo cha Utumiaji na Udhibiti cha UAV cha Chuo cha Sayansi cha China. Katika mkutano huo, maonyesho ya Mafanikio ya Teknolojia ya Uvumbuzi wa Mfumo wa Uendeshaji usio na rubani yatafanyika, na kuonyesha kwa kina mafanikio ya maendeleo ya makampuni ya teknolojia, kukuza utekelezaji wa miradi ya viwanda yenye ubora wa juu. Ghuba kubwa ya Guangdong-Hong Kong-Macao itaunda uwanda mpya kwa tasnia ya mfumo wa uendeshaji usio na rubani na chanzo kikuu cha uvumbuzi.

VCG111415876334.jpg

VCG111415876344.jpg

VCG111415876342.jpg

VCG111415876337.jpg

VCG111415876345.jpg
 
Back
Top Bottom