wakati chadema haijatoa msimamo kuhusu dowans, mwenyekiti wa cuf, prof. Ibrahim lipumba anasema; kama chama wanaunga msimamo wa zitto, kwamba mitambo ya dowans inunuliwe. Wanatoa mifano ya vitu mitumba kama ndege za atc ni mitumba, mabehewa ya trc ni mitumba. Wanasema kwamba sababu sheria ni mbovu. Anasema malumbano yanayoendelea hayana tija yanaenda kwa watu binafsi, na kwamba zitto yuko sahihi kabisa. Zitto hakuwapo.
wallllllllllllllllaaaaaaaaaahhhhhhhhhh