Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuia ya Madola 2022 Rwanda

Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuia ya Madola 2022 Rwanda

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Mkutano huu ulihudhuriwa na Mwana wa Malkia aitwae Charles pamoja na mke wake Camilla
1656254791789.png

1656254829405.png

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonhnson na mke wake

1656255078247.png

1656255117480.png
 
Attachments

  • 1656254881436.png
    1656254881436.png
    388.7 KB · Views: 6
Rwanda ambayo haikutawaliwa na British Kingdom leo wanaanda Mkutano wa Commonwealth na kubeba wageni wote hao! Naanza kuamini wapo mbele yetu
1. Raisi Paul Kagame wa Rwanda ndie Chairman wa Commonwealth - Mataifa 54+2.
2. Louise Mushikiwabo (Mnyarwanda) ndie Secretary General - Boss wa jumuia ya mataifa ya kifaransa Organisation International de La Francophonie - Mataifa 88.
3. Monique Nsanzabaganwa (Mnyarwanda) ndie vice chairperson wa African union - Mataifa 55.

Jamaa wanajitahidi wanastahili kupongezwa.
 
AICC imechakaa sana.
Haijawahi kifamya kitu kama hichi, mpaka Camilla Parker kahudhuria, na Commonwealth kutoka maamuzi magumu ya kuzipa uhuru wa kujitawala Nchi zilizibaki, Rwanda wanakuja juu
 
Haijawahi kifamya kitu kama hichi, mpaka Camilla Parker kahudhuria, na Commonwealth kutoka maamuzi magumu ya kuzipa uhuru wa kujitawala Nchi zilizibaki, Rwanda wanakuja juu
Nimesikia hii dinner menu ilikua ni starter matango na pilipili hoho zilizo okwa.

Main course kuku wa kuoka mboga mboga pamoja na uyoga.

Dessert cheese cake iliyotengenezwa na passion fruits.

Wine ziliagizwa kutoka South Africa, New Zealand, France na Australia. Kahawa walipewa inayolimwa Rwanda.
 
Katuwakilisha nani kwenye huu mkutano
Alaf huyu charles sijui kwann namuonaga kama ndie mume wa malkia 🤣🤣🤣🤣 hii familia wamekula sana chumvi nao
😄😄 mi Naonaga hio familia ya kifalme Ina sura flani ya kitofauti hivi, yatakua ma-vampire haya.
 
Nimesikia hii dinner menu ilikua ni starter matango na pilipili hoho zilizo okwa.

Main course kuku wa kuoka mboga mboga pamoja na uyoga.

Dessert cheese cake iliyotengenezwa na passion fruits.

Wine ziliagizwa kutoka South Africa, New Zealand, France na Australia. Kahawa walipewa inayolimwa Rwanda.
Wangeagiza hata dompo,St Anne,Image na sisi tupige hela kidogo mkuu 😄😄
 
Hamna vampire hapo 😀😀😀 wangekuwa hawafi labda
Tunawaona tofauti sabb labda si mara kwa mara wanaonekana hadharan
Hahah inawezekana mkuu,yaani hua Wana sura flani za kutokuongea Sana lkn zenye mamlaka.Ukiwacheki hao afu ukamuangalia na mtu kama Trump vile alivyo nasemaga tu Hiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hahah inawezekana mkuu,yaani hua Wana sura flani za kutokuongea Sana lkn zenye mamlaka.Ukiwacheki hao afu ukamuangalia na mtu kama Trump vile alivyo nasemaga tu Hiiiiiiiiiiiiiiiii
Kama ni mamlaka wanayo na ukiwa na mamlaka lazm uogopewe
 
Katuwakilisha nani kwenye huu mkutano
Alaf huyu charles sijui kwann namuonaga kama ndie mume wa malkia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii familia wamekula sana chumvi nao
Yule Bibi kaenda sana Age, watu kuanzia miaka 70 kuendelea ngumu kutofautisha miaka bila kuambiwa, wote huwa vikongwe
 
Back
Top Bottom