Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ile mikutano hii ilifanyika Arusha
Kuna na huyo Mama pia!1. Raisi Paul Kagame wa Rwanda ndie Chairman wa Commonwealth - Mataifa 54+2.
2. Louise Mushikiwabo (Mnyarwanda) ndie Secretary General - Boss wa jumuia ya mataifa ya kifaransa Organisation International de La Francophonie - Mataifa 88.
3. Monique Nsanzabaganwa (Mnyarwanda) ndie vice chairperson wa African union - Mataifa 55.
Jamaa wanajitahidi wanastahili kupongezwa.
Unaambiwa preparation ilikuwa extraordinary!Rwanda ambayo haikutawaliwa na British Kingdom leo wanaanda Mkutano wa Commonwealth na kubeba wageni wote hao! Naanza kuamini wapo mbele yetu
Rwanda ambayo haikutawaliwa na British Kingdom leo wanaanda Mkutano wa Commonwealth na kubeba wageni wote hao! Naanza kuamini wapo mbele yetu
kuna wabantu huwachukulia pw na kuhisi wapo overrated ila in reality wapo had kweny sector nyeti za nchi yetu1. Raisi Paul Kagame wa Rwanda ndie Chairman wa Commonwealth - Mataifa 54+2.
2. Louise Mushikiwabo (Mnyarwanda) ndie Secretary General - Boss wa jumuia ya mataifa ya kifaransa Organisation International de La Francophonie - Mataifa 88.
3. Monique Nsanzabaganwa (Mnyarwanda) ndie vice chairperson wa African union - Mataifa 55.
Jamaa wanajitahidi wanastahili kupongezwa.
kila rais ni mchonganishi ?Mchonganishi borison kwenye uborawake