Mkutano wa wana MMU kwa ajili ya kujumuika

Mkutano wa wana MMU kwa ajili ya kujumuika

Nakubaliana na wewe Transcend, maana humu ni pori balaa tupu, unaweza kuwa unachat na mke wako, dada yako, mother au hata dingi!
 
Watu wa bara mtaangalia kwenye Skype mkiwa huko huko namtombo naskia sikuhiz Halotel inapasua anga.
Sisi tuko busy na kilimo, hujui nimsim ya kilimo huu, hata hvyo kazi yenu nyinyi ni kupiga soga tu hapo.
 
Aisee hii sasa kazi nahisi wanaume watakuwa wengi kuliko wanawake hapo ndo utakapo juta ila ifanyike mlimani au Quality center pale itakuwa vyema
 
nipo tayari tukutrane MESUMA kijitonyama.gorofsni pale.kukutana ni jamabo la mhm.
 
Hapana...
Nimecomment tu kwa umakini !!!

Jamaa anasema anataka kutumia fursa hiyo kutafuta mchumba, atagharamia bites na vinywaji, sasa wewe mwanaume jichanganye uende uone msala wake.
 
Back
Top Bottom