Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
- Thread starter
- #21
Nakubaliana na wewe Transcend, maana humu ni pori balaa tupu, unaweza kuwa unachat na mke wako, dada yako, mother au hata dingi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nendeni mkapalilie magimbi.Sisi wa mikoani itakuwaje sasa?
Good idea, so tuliooa au kuolewa tusije?
Sisi tuko busy na kilimo, hujui nimsim ya kilimo huu, hata hvyo kazi yenu nyinyi ni kupiga soga tu hapo.Watu wa bara mtaangalia kwenye Skype mkiwa huko huko namtombo naskia sikuhiz Halotel inapasua anga.
Mi msabato hatuvai peteNjoo, lakini uvae pete ya ndoa.
Hapana...
Nimecomment tu kwa umakini !!!