Mkutano wa wana MMU kwa ajili ya kujumuika

Mkutano wa wana MMU kwa ajili ya kujumuika

Mke na mume no, ok vp kama humu jf una X? Weweza kuja naye?
 
anhaaaa kumbe jamiiforums watu wanaogopana.
jamani mkutano ungekuwa Arusha,ingekuwa poa saaaaaaana.
 
Watu mnaogopana kukutana, nendeni mkabadirishane mawili matatu kimitazamo...
 
Back
Top Bottom