Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia ule msemo wa hasira za mkizi, furaha kwa mvuvi; ndiyo huu sasa. Wewe susa tu, wenzako wataendelea kuishabikia timu.Sasa hapo nadhani mtaelewa kauli ya Cadena aliyosema kuwa hayuko tayari kusaini mkataba mpya kwasababu ya uongozi mbovu uliopo.
Na akasisitiza kuwa labda itokee hao viongozi wabadilishwe waje viongozi wanaojua mpira kitu ambacho sioni kikija kuwezekana
Sasa nadhani kile kitu ndio hiki.
Mangungu hayupo peke yake kwenye jili sakata yeye ni kama kivuli tu.
Kuna mtu mwingine nyuma yake ambaye anamtumia kama shield kufanikisha mpango wa kumtoa MO.
Huyo mtu ndio anatumia kiburi cha pesa kuwanunua polisi.
Mangungu akiendelea kubaki Simba ni simply tu naacha kushabikia Simba, siendi uwanjani, sinunui jezi nahamia Costal na Azam.
Ni upuuzi kuendelea kuona Shaolin anaendelea kuwa mwenyekiti pamoja na madudu yote hayo aliyofanya.
Najua hii habari mashabiki wa Utopolo wameifurahia sana kwasababu wanajua bado mtu wao anayo nafasi zaidi ya kuendelea kukamilisha mipango yao.
Acha kutafuta visingizio visivyo na tija. Sababu kubwa ya mvurugano kwenye timu ya simba ni ubabaishaji na ujanja ujanja tu wa mwekezaji wenu.Unategemea nn wakati kizimkazi ni YANGA.waziri w pesa ni YANGA. Simba hawana chao taifa hili.
KAZI ni kipimo cha UTU
Mtu wetu wa wapi sasa kweli nyie makoloSasa hapo nadhani mtaelewa kauli ya Cadena aliyosema kuwa hayuko tayari kusaini mkataba mpya kwasababu ya uongozi mbovu uliopo.
Na akasisitiza kuwa labda itokee hao viongozi wabadilishwe waje viongozi wanaojua mpira kitu ambacho sioni kikija kuwezekana
Sasa nadhani kile kitu ndio hiki.
Mangungu hayupo peke yake kwenye jili sakata yeye ni kama kivuli tu.
Kuna mtu mwingine nyuma yake ambaye anamtumia kama shield kufanikisha mpango wa kumtoa MO.
Huyo mtu ndio anatumia kiburi cha pesa kuwanunua polisi.
Mangungu akiendelea kubaki Simba ni simply tu naacha kushabikia Simba, siendi uwanjani, sinunui jezi nahamia Costal na Azam.
Ni upuuzi kuendelea kuona Shaolin anaendelea kuwa mwenyekiti pamoja na madudu yote hayo aliyofanya.
Najua hii habari mashabiki wa Utopolo wameifurahia sana kwasababu wanajua bado mtu wao anayo nafasi zaidi ya kuendelea kukamilisha mipango yao.
Mangungu mumchague simba lawama apewe Yanga mbona hiki kitukoSasa hapo nadhani mtaelewa kauli ya Cadena aliyosema kuwa hayuko tayari kusaini mkataba mpya kwasababu ya uongozi mbovu uliopo.
Na akasisitiza kuwa labda itokee hao viongozi wabadilishwe waje viongozi wanaojua mpira kitu ambacho sioni kikija kuwezekana
Sasa nadhani kile kitu ndio hiki.
Mangungu hayupo peke yake kwenye jili sakata yeye ni kama kivuli tu.
Kuna mtu mwingine nyuma yake ambaye anamtumia kama shield kufanikisha mpango wa kumtoa MO.
Huyo mtu ndio anatumia kiburi cha pesa kuwanunua polisi.
Mangungu akiendelea kubaki Simba ni simply tu naacha kushabikia Simba, siendi uwanjani, sinunui jezi nahamia Costal na Azam.
Ni upuuzi kuendelea kuona Shaolin anaendelea kuwa mwenyekiti pamoja na madudu yote hayo aliyofanya.
Najua hii habari mashabiki wa Utopolo wameifurahia sana kwasababu wanajua bado mtu wao anayo nafasi zaidi ya kuendelea kukamilisha mipango yao.
Mo ndo kiini cha tatizo na sio mangunguAcha kutafuta visingizio visivyo na tija. Sababu kubwa ya mvurugano kwenye timu ya simba ni ubabaishaji na ujanja ujanja tu wa mwekezaji wenu.
Kwani kosa la mangungu ni lipi hapo mzee mbona povu? Kwani mangungu ndio anaesajili wachezaji?? Je mangungu ndio anaetoa pesa za usajili?? Je mangungu anasauti katika maamuzi ya bodi?? Mangungu mnamuonea tu bodi ya wakurugenzi upande wa muwekezaji ndio walikuwa wapigaji. Mkutano huo haujafuata katiba ndio maana umepigwa chini na kama hujui hili vuguvugu linachochewa sana na yanga maana wanajua nguvu ya MO akirudi kwenye kitiSasa hapo nadhani mtaelewa kauli ya Cadena aliyosema kuwa hayuko tayari kusaini mkataba mpya kwasababu ya uongozi mbovu uliopo.
Na akasisitiza kuwa labda itokee hao viongozi wabadilishwe waje viongozi wanaojua mpira kitu ambacho sioni kikija kuwezekana
Sasa nadhani kile kitu ndio hiki.
Mangungu hayupo peke yake kwenye jili sakata yeye ni kama kivuli tu.
Kuna mtu mwingine nyuma yake ambaye anamtumia kama shield kufanikisha mpango wa kumtoa MO.
Huyo mtu ndio anatumia kiburi cha pesa kuwanunua polisi.
Mangungu akiendelea kubaki Simba ni simply tu naacha kushabikia Simba, siendi uwanjani, sinunui jezi nahamia Costal na Azam.
Ni upuuzi kuendelea kuona Shaolin anaendelea kuwa mwenyekiti pamoja na madudu yote hayo aliyofanya.
Najua hii habari mashabiki wa Utopolo wameifurahia sana kwasababu wanajua bado mtu wao anayo nafasi zaidi ya kuendelea kukamilisha mipango yao.
Mangungu yuko sawa na anasimamia katiba.Sasa hapo nadhani mtaelewa kauli ya Cadena aliyosema kuwa hayuko tayari kusaini mkataba mpya kwasababu ya uongozi mbovu uliopo.
Na akasisitiza kuwa labda itokee hao viongozi wabadilishwe waje viongozi wanaojua mpira kitu ambacho sioni kikija kuwezekana
Sasa nadhani kile kitu ndio hiki.
Mangungu hayupo peke yake kwenye jili sakata yeye ni kama kivuli tu.
Kuna mtu mwingine nyuma yake ambaye anamtumia kama shield kufanikisha mpango wa kumtoa MO.
Huyo mtu ndio anatumia kiburi cha pesa kuwanunua polisi.
Mangungu akiendelea kubaki Simba ni simply tu naacha kushabikia Simba, siendi uwanjani, sinunui jezi nahamia Costal na Azam.
Ni upuuzi kuendelea kuona Shaolin anaendelea kuwa mwenyekiti pamoja na madudu yote hayo aliyofanya.
Najua hii habari mashabiki wa Utopolo wameifurahia sana kwasababu wanajua bado mtu wao anayo nafasi zaidi ya kuendelea kukamilisha mipango yao.
kwan yanga ndo walimtoa mo? si alijitoa mwenyewe kwenye kt akasema atabak kuwa mwenykt wa heshima? pambanen na hali zenu achen kuwaingiza yanga kwenye madudu yenu, kama timu imewashinda muuzien gsm kwa bei ya punguzo, au we unaonaje ephen_?Kwani kosa la mangungu ni lipi hapo mzee mbona povu? Kwani mangungu ndio anaesajili wachezaji?? Je mangungu ndio anaetoa pesa za usajili?? Je mangungu anasauti katika maamuzi ya bodi?? Mangungu mnamuonea tu bodi ya wakurugenzi upande wa muwekezaji ndio walikuwa wapigaji. Mkutano huo haujafuata katiba ndio maana umepigwa chini na kama hujui hili vuguvugu linachochewa sana na yanga maana wanajua nguvu ya MO akirudi kwenye kiti
Tulia dawa iwaingie vizuri, tuliwaambia hapa kuwa Ngungus Boy downtown hatishwi na maneno yenu ya kwenye kigodoro.Sasa hapo nadhani mtaelewa kauli ya Cadena aliyosema kuwa hayuko tayari kusaini mkataba mpya kwasababu ya uongozi mbovu uliopo.
Na akasisitiza kuwa labda itokee hao viongozi wabadilishwe waje viongozi wanaojua mpira kitu ambacho sioni kikija kuwezekana
Sasa nadhani kile kitu ndio hiki.
Mangungu hayupo peke yake kwenye jili sakata yeye ni kama kivuli tu.
Kuna mtu mwingine nyuma yake ambaye anamtumia kama shield kufanikisha mpango wa kumtoa MO.
Huyo mtu ndio anatumia kiburi cha pesa kuwanunua polisi.
Mangungu akiendelea kubaki Simba ni simply tu naacha kushabikia Simba, siendi uwanjani, sinunui jezi nahamia Costal na Azam.
Ni upuuzi kuendelea kuona Shaolin anaendelea kuwa mwenyekiti pamoja na madudu yote hayo aliyofanya.
Najua hii habari mashabiki wa Utopolo wameifurahia sana kwasababu wanajua bado mtu wao anayo nafasi zaidi ya kuendelea kukamilisha mipango yao.
Wewe na GENTAMYCINE niliwaambia Murtaza ni mtoto wa Libya street mkashupaza shingo zenu, sasa mmejionea wenyewe?Hapo ndo ninapoionaga hii nchi ni ya kipumbavu sana.
Yaani wanachama wanataka wafanye kikao cha kujua mustakabali wa Klabu yao, na pengine kufuata hatua za kuwaondoa viongozi wasiofaa Klabuni, ghafla unaona Geshi la Polish linaingilia mchakato. Nyambaf sana hili li nchi la wasio na akili.
Haya mawazo ni ya kihuni sanaMangungu anaiwakilisha serikali, haiwezekani timu ya ukombozi ya wapigania uhuru iporwe na wahindi
Hapo wqtu wa system watapata wapi kitu cha kudivert hasirq za watanzania nje ya simba na yanga?
Mo anatishia usalama wa Twaifaa lazima aichie simba atake asitake
Niliwaeleza wakati wanampa count down hakuna wakuja yeyote wa kumbabaisha Murtaza walidhani natania.Tulia dawa iwaingie vizuri, tuliwaambia hapa kuwa Ngungus Boy downtown hatishwi na maneno yenu ya kwenye kigodoro.
eeh ndio....mim ni mpenzi wa yanga sio mshabiki.Simba wamepoteana!
Kumbe na wewe ni Yanga
Mangungu anajuwa pakupata pesa za usajili, hili nakuhakikishia kwa asilimia mia moja.Bado Wana nafasi ya kujirekebisha mimi nionavyoona kinacho hitajika ni pesa kwanza, lakini hizo pesa zikipatika uongozi huu utakuwa nazo makini? ,Kwakuwa bado wanavutana, nadhani Simba wajipange upya hata kwakuchelewa kidogo, kuhusu muwekezaji naona kaiweka Simba kwenye kiganja Kwa maana usajili wa dirisha kubwa uko mlangoni na unahitaji pesa za kutosha je wanachama wanaweza changa hizo pesa Kwa muda mfupi?
Ana akili sana hata mimi nimemuelewa lakini changamoto waliyonayo Simba ni mtego wa cheo cha Rais wa heshima nani atamfunga paka kengeleMangungu anajuwa pakupata pesa za usajili, hili nakuhakikishia kwa asilimia mia moja.
We umeongea neno na nimekuelewa . Ndani kuna ka ukweli.Unategemea nn wakati kizimkazi ni YANGA.waziri w pesa ni YANGA. Simba hawana chao taifa hili.
KAZI ni kipimo cha UTU
hiii imeeeenda, hv bado hujapata namba yake?Yanga day jiandae tutaenda uwanjani kumuona Guede
we domo zege?, au mahaba yamemwagikia mpaka unashindwa kuongea?Ndio! Hata nikiipata sina cha kumwambia