Mkutano wa Wanachama wa Simba wapigwa STOP na Polisi

Ukisikia ule msemo wa hasira za mkizi, furaha kwa mvuvi; ndiyo huu sasa. Wewe susa tu, wenzako wataendelea kuishabikia timu.
Na wavuvi wenyewe ni Gongowazi.

Gongowazi ndio walliopokea kwa bashasha hii taarifa inayoweka matumaini ya kumfanya Shaolin aendelee kubaki madarakani.
 
Mangungu mumchague simba lawama apewe Yanga mbona hiki kituko
Kama tumemchagua sisi kwanini tunapotaka kumtoa nyinyi mnamtetea?

Ni lini Yanga ilianza kuwa mapenzi mema kwa Simba?

Au kwasababu Shaolin ni fan wa Pan African ambayo imeungana na Yanga?

Zile 5 mlimfunga Shaolin hamkuifunga Simba, mi mpaka leo najua msimu uliopita Simba haijacheza mechi yeyote na sijui kwanini.
 
Kwani kosa la mangungu ni lipi hapo mzee mbona povu? Kwani mangungu ndio anaesajili wachezaji?? Je mangungu ndio anaetoa pesa za usajili?? Je mangungu anasauti katika maamuzi ya bodi?? Mangungu mnamuonea tu bodi ya wakurugenzi upande wa muwekezaji ndio walikuwa wapigaji. Mkutano huo haujafuata katiba ndio maana umepigwa chini na kama hujui hili vuguvugu linachochewa sana na yanga maana wanajua nguvu ya MO akirudi kwenye kiti
Fact ni moja tu.

Kama Mangungu ni kiongozi mzuri na ni mtu sahihi kuendelea kuwepo Simba katika kufikia malengo ya Club basi haitawezekana kuona mashabiki wa Yanga wanataka kumuona huyo kiongozi akiwa mwenyekiti wa Simba.

Since Gongowazi wanamtetea basi hiyo tu inatosha kuonesha kuwa huyo sio kiongozi wa kuifikisha Simba kwenye malengo yao.

Mangungu ni kiongozi wa juu wa bodi ambayo majuzi tuliwasikia wakitoa vitisho kuwa hakuna mchezaji atayecheza Simba bila kupitia kwenye kamati yao.

Sasa utasemaje hausiki kwenye uchaguzi?

Haya na hapo juzi tumemsikia Shaolin akisema pesa za usajili atatoa kwenye mfuko wake pamoja na michango ya mashabiki.

Tafsiri yake nini? Maana yake utawala wake una matabaka anatugawa mashabiki pamoja na mwekezaji ambaye ni MO.

Shaolin kasha violet motto wa Simba wa nguvu moja kwa kutengeneza matabaka.

Uongozi ndio tatizo, wamesema wachezaji now mpaka makocha. Aliposema Uchebe tulimuona miyeyusho now kaja kusema Cadena haiwezi kuwa coincidence.

MO aliwahi kusema kuna viongozi kwa makusudi wanakwamisha mchakato wa mabadiliko. Sheria ya mabadiliko ilitenga kipindi cha miezi sita tu mpaka mabadiliko kufanyika lakini tunaenda mwaka wa 3 bila mabadiliko kufanyika.

Kuna tetesi tunazisikia kuna yupo mtu anataka kumpindua MO ili yeye aje kuwa mwekezaji. Huyo mtu ndio anamtumia Shaolin kusukuma ajenda pamoja na kuchelewesha transformation.

Na ndio maana suluhu hapo tunaona wajiuzulu wapishwe watu wa mpira
 
Inajulikana kuwa yule salah mdogo wa gsm anaitaka simba sema bosi MO kashtukia mchongo mapema. Kikatiba MO kuwa mwenyekiti wa bodi maana yake ndio mwenye maamuzi na MO ni mjanja sana maana alipoingia rasmi simba alifosi kubadili vipengele katika katiba na kwa njaa za viongozi walikubali kwamba muwekezaji na bodi yake ndio wenye maamuzi ya mwisho sasa katiba inawabana kina mangungu so acha warukeruke kama maharage lakini lazima watulie tu maana kama ni nguvu ya pesa Mo yupo strong zaidi ya huyo salah
 
Tulia dawa iwaingie vizuri, tuliwaambia hapa kuwa Ngungus Boy downtown hatishwi na maneno yenu ya kwenye kigodoro.
Yeah ni kwasababu Yanga ina share common interests na serikali.

There's no way utasema CCM sio Yanga na ndio maana Mwigulu ame proppose kuwekwa nembo ya Yanga kwenye noti.

Na tunajua kuwa Shaolin alikuwa shabiki wa Pan African ambayo iliungana na Gongowazi.

So mna sababau za msingi kwanini mnamtetea Shaolin.
 
Kama tumemchagua sisi kwanini tunapotaka kumtoa nyinyi mnamtetea?

Ni lini Yanga ilianza kuwa mapenzi mema kwa Simba?

Au kwasababu Shaolin ni fan wa Pan African ambayo imeungana na Yanga?

Zile 5 mlimfunga Shaolin hamkuifunga Simba, mi mpaka leo najua msimu uliopita Simba haijacheza mechi yeyote na sijui kwanini.
Utaratibu ufuatwe muache kufanya mambo kihuni
Tatizo la mashabiki wa simba wao wenyewe wamegawanyika hawajui nini wanataka
 
Yeah ni kwasababu Yanga ina share common interests na serikali.

There's no way utasema CCM sio Yanga na ndio maana Mwigulu ame proppose kuwekwa nembo ya Yanga kwenye noti.

Na tunajua kuwa Shaolin alikuwa shabiki wa Pan African ambayo iliungana na Gongowazi.

So mna sababau za msingi kwanini mnamtetea Shaolin.
Mumchague nyie lawama apewe yanga
 
kwan yanga ndo walimtoa mo? si alijitoa mwenyewe kwenye kt akasema atabak kuwa mwenykt wa heshima? pambanen na hali zenu achen kuwaingiza yanga kwenye madudu yenu, kama timu imewashinda muuzien gsm kwa bei ya punguzo, au we unaonaje ephen_?
Acheni kelele kwani nyie mnajua mfumo wenu wa uongozi umekaaje??? Tunachopitia sisi ni kitu muhimu sana maana tunanyoosha mfumo ukae sawa
 
Utaratibu ufuatwe muache kufanya mambo kihuni
Tatizo la mashabiki wa simba wao wenyewe wamegawanyika hawajui nini wanataka
Nyinyi mnaujua mfumo wenu wa uongozi? Au kwa sababu simba imeshuka?? Mkianza kula kipigo cha 6 bila kutoka kwa mnyama mbona mtaanza kuhoji mifumo tu
 
Safi sana polisi, Mangungu tulimchagua wanasimba wote kupitia katiba yetu, haiwezekani leo watu wachache wavunje katiba kwa maslahi yao. Tuheshimu katiba hakuna mwanachama yeyote anaruhusiwa kuitisha mkutano zaidi ya mwenyekiti na kamati tendaji yake.
 
Inajulikana kuwa yule salah mdogo wa gsm anaitaka simba sema bosi MO kashtukia mchongo mapema. Kikatiba MO kuwa mwenyekiti wa bodi maana yake ndio mwenye maamuzi na MO ni mjanja sana maana alipoingia rasmi simba alifosi kubadili vipengele katika katiba na kwa njaa za viongozi walikubali kwamba muwekezaji na bodi yake ndio wenye maamuzi ya mwisho sasa katiba inawabana kina mangungu so acha warukeruke kama maharage lakini lazima watulie tu maana kama ni nguvu ya pesa Mo yupo strong zaidi ya huyo salah
Kama ni Salah mbona anaimiliki Prisons na bado kuna malalamiko ya wachezaji kutolipwa mishahara kwa wakati.

Sasa mimi natoa hela halafu sina access ya hizo hela katika maamuzi huo si upimbi?

Kupitia sheria hiyo maana yake inatoa mwanya kwa mwekezaji kuweza kudhulumiwa au pesa zake kutumiwa ndivyo sivyo.
 
Pandikizi lenu mnalilinda kwa nguvu zote kuona kwamba anaendelea kubaki ili mzidi kuchukua makombe.
Hebu tueleze sababu za kumtoa ni zipi!? Moo anaulizwa bil.20 aliziweka wapi anataja mpaka supu alizonunulia wachezaji.
 
Back
Top Bottom