Mkutano wa wananchi na uongozi wa M23 huko BUKAVU

Nimeona New Admin imeanza kuajiri watumishi wapya wa umma bila kujali ukabila watu wanasema wafanyakazi waliokuwepo pale wote wametoka Kinshasa na Kasai wakati Wakongo wa Eastern Congo wakinyimwa kazi.
 
hawakuwa na elimu , udhaifu huo Kagame anautumia ipasavyo , anaajili wajinga kisha kwenye migodi anaweka wanyarwanda wanakuwa wanasomba tu mali
 
Nimeona New Admin imeanza kuajiri watumishi wapya wa umma bila kujali ukabila watu wanasema wafanyakazi waliokuwepo pale wote wametoka Kinshasa na Kasai wakati Wakongo wa Eastern Congo wakinyimwa kazi.
Naam! Kinachoendelea sasa hapo Eastern Congo ndo matokeo ya Utendaji mbovu uliokuwepo awali.
 
Back
Top Bottom