Mkuu mpya wa Jeshi ya Israel kuwafuta kazi majenerali 4 lengo kurejesha imani kwa wananchi kufuatia shambulizila baya la Oktoba 7,2023.

Mkuu mpya wa Jeshi ya Israel kuwafuta kazi majenerali 4 lengo kurejesha imani kwa wananchi kufuatia shambulizila baya la Oktoba 7,2023.

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Mkuu mpya Jeshi la Israel atawafuta kazi majenerali wanne wa IDF kwa kushindwa kwao kuzuia shambulizi la Oktoba 7, 2024 ambapo jumla ya Waisrael 1,200 waliuawa na magaidi ya Hamas


Majenerali hao ni pamoja Oded Basyuk anayeongoza idara ya mafunzo, Tomer Bar anayeongoza kikosi cha anga na Shlomi Binder Mkuu idara ya ujasusi na


Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:



Incoming IDF chief of staff Eyal Zamir is planning a major overhaul of the top command of the military, believing it necessary to restore public trust in the army, after the failures of October 7, 2023, Channel 12 reports.

According to the network, Zamir plans to remove many top generals who were in key posts during the October 7 attacks. The report says among those Zamir is considering removing are Head of the Operations Directorate Maj. Gen. Oded Basyuk, Air Force Commander Maj. Gen. Tomer Bar, Home Front Command Head Maj. Gen. Rafi Milo, and Intelligence Directorate Head Maj. Gen Shlomi Binder (Binder assumed the role in mid-2024, having served as head of the Operations Division on October 7. The head of intelligence during the attack, Maj. Gen. Aharon Haliva, has already stepped down).
 
Baada ya kipigo sasa Wanajitafuta mkuu wa mafunzo Pengine Punga Kashindwa kuandaa Vijana wenye uwezo wa Kupigana kimkakati!!!

Zaid kaaandaa wauwaji Watu ovyo Mwisho Wameuwa adi Raia wao UKWELI KUWAWAJIBISHA AO MAJENERAL 4 nisaiii kabisa mana ni watu muimu Walioshindwa kwenye Majukum yao !!!!

Kikosi cha Anga ndio kimeuwa Waisrael Wengi zaid ktk 1200 Buku na 100 1100 Wameuwa na Kikosi cha Anga Aibu Kubwa kwa JESHI lenye rasilimali muimu za Kivita Tulivoambiwa!!!!!

Uwongo wao Umeishia 7octb JESH la ISRAEL ata lilikuwa linafundisha Majesh mengi Duniani Waliaminiwa Sana kumbe Ukubwa wao ulijikita Zaid kwenye MEDIA !!!!
leo nani Anataka kufunzwa na IDF ya ISRAEL ikiwa wao waupe seem muimu zote 4
7octb imemaliza ngonjera zoteee za MEDIA!!!!! Wajitafute Upya!!!!
 
Huyo Tamer Bar amwache kabisa amefanya kazi kubwa sana bila yeye Leo hii Hizbullah wangekuwa wanatamba
 
Back
Top Bottom