Mkuu Rrondo kwa hili la matamshi naomba niwe upande wa watangazaji

Mkuu Rrondo kwa hili la matamshi naomba niwe upande wa watangazaji

ironi ladi tena jamani? teh teh. ..
nilitegemea kuona wachangiaji wa pande ile ya kule wangekuwepo na huku..... (nimeacha uchokozi sasa)
Huku tuko waswahili wengi ndo maana tunaelewana
 
sahihu asilimia 100% = Sahihi
Naam nimeona mkuu,
Sijuhariri uzi wangu makosa yapo mengi tu ila nimerahisisha nikijua kila mtu ataelewa atakaposoma
Ila ni makosa ya simujanja tu japo nashukuru pia kwa kukosoa
 
Mkuu hata mimi nashangaa watangazaji wa redio na tv wakitamka mji mkuu wa uingereza kuwa ni Landani badala ya London au TV yetu ya taifa wanataja tbc wani na si tbc moja kwao one in kiswahili fasaha.
 
Mkuu hata mimi nashangaa watangazaji wa redio na tv wakitamka mji mkuu wa uingereza kuwa ni Landani badala ya London au TV yetu ya taifa wanataja tbc wani na si tbc moja kwao one in kiswahili fasaha.
Aiseee
 
Mimi binafsi hii nakataa, unakuwa ni uharibifu wa majina ya watu.

Unamaanisha hata wewe tukuite Mk-wawe?
Kuna ubaya gani kama jamii yenu hutamka hivyo

Angalia wazungu hutamka Magafuli badala ya Magufuli unasemaje kuhusu hili nao wanaharibu au
 
Mkuu hata mimi nashangaa watangazaji wa redio na tv wakitamka mji mkuu wa uingereza kuwa ni Landani badala ya London au TV yetu ya taifa wanataja tbc wani na si tbc moja kwao one in kiswahili fasaha.
Kabisa mkuu tena wanakosea sana inabidi watamke TeBeChe moja maana alfabeti za kiswahili zina namna ya utamkaji wake
 
Naunga mkono hoja tutamke kiswahili tu maana majina mengine magumu kama hii nchi/Kisiwa kinaitwa 'Niue' na inatamkwa

IPA: /ˈnjuːeɪ

Kama hujawai sikia kuitamka ni majanga.
 
Tena Leicester inabidi itamkwe Leichesteri
Upo sahihi, warusi wanasema "manchesteri yunaitedi", "liverpuli" na "arsenali"...tena wanaweka msisitizo kabisa aRsenali. Sio lazima kusema Lecter, kiswahili unaweza kuita "leichesteri" na ikasikika sawa kabisa..
 
Dah! Ila waRussia hunifurahisha na matamshi yao niliskia mmoja anatamka Tanzaniaa na msisitizo juu.
 
- Bob=Bobu
- Larsson=Larsoni
- Kahl=Kahil
- Wolfsburg=Wofsibugi
- Mainz=Mainzi
- Leipzig=Lepzigi
- Stuttgart=Stutigati
- Karlsruher=Hili jina ni gumu kwa hiyo watakavyotamka nasi tutanakili ila kinyume inakuwa tutaandika tofauti na wao wanavyoandika, sisi tutaandika kama ambavyo watatamka
Rejea;Schule=Inatamkwa shule nasi tunaandika shule na kutamka shule
- Stavanger=Stavangeri
- Waterford=Waterifod

Director Cosmopolitan
 
Upo sahihi, warusi wanasema "manchesteri yunaitedi", "liverpuli" na "arsenali"...tena wanaweka msisitizo kabisa aRsenali. Sio lazima kusema Lecter, kiswahili unaweza kuita "leichesteri" na ikasikika sawa kabisa..
Kweli kabisa mkuu unajua ujeruma inaitwa Allemagne na kutamkwa alimanyee kwa kifaransa
 
Back
Top Bottom