Una maana gani IronLady
Hahaa .. na kweli kwa tabia yake Yule jinsi ilivyo " Itakuwa ameamua kuupotezea huu uzi
Mimi binafsi hii nakataa, unakuwa ni uharibifu wa majina ya watu.Aleksanderi Lachazete
AiseeeMkuu hata mimi nashangaa watangazaji wa redio na tv wakitamka mji mkuu wa uingereza kuwa ni Landani badala ya London au TV yetu ya taifa wanataja tbc wani na si tbc moja kwao one in kiswahili fasaha.
Kuna ubaya gani kama jamii yenu hutamka hivyoMimi binafsi hii nakataa, unakuwa ni uharibifu wa majina ya watu.
Unamaanisha hata wewe tukuite Mk-wawe?
Kabisa mkuu tena wanakosea sana inabidi watamke TeBeChe moja maana alfabeti za kiswahili zina namna ya utamkaji wakeMkuu hata mimi nashangaa watangazaji wa redio na tv wakitamka mji mkuu wa uingereza kuwa ni Landani badala ya London au TV yetu ya taifa wanataja tbc wani na si tbc moja kwao one in kiswahili fasaha.
πππKabisa mkuu tena wanakosea sana inabidi watamke TeBeChe moja maana alphabeti za kiswahili zina namna ya utamkaji wake
Haya majina/maeneo utayatamkaje?Inafurahisha kweli ila uhalisia wenyewe
Upo sahihi, warusi wanasema "manchesteri yunaitedi", "liverpuli" na "arsenali"...tena wanaweka msisitizo kabisa aRsenali. Sio lazima kusema Lecter, kiswahili unaweza kuita "leichesteri" na ikasikika sawa kabisa..Tena Leicester inabidi itamkwe Leichesteri
Dah! Ila waRussia hunifurahisha na matamshi yao niliskia mmoja anatamka Tanzaniaa na msisitizo juu.Upo sahihi, warusi wanasema "manchesteri yunaitedi", "liverpuli" na "arsenali"...tena wanaweka msisitizo kabisa aRsenali. Sio lazima kusema Lecter, kiswahili unaweza kuita "leichesteri" na ikasikika sawa kabisa..
Kweli kabisa mkuu unajua ujeruma inaitwa Allemagne na kutamkwa alimanyee kwa kifaransaUpo sahihi, warusi wanasema "manchesteri yunaitedi", "liverpuli" na "arsenali"...tena wanaweka msisitizo kabisa aRsenali. Sio lazima kusema Lecter, kiswahili unaweza kuita "leichesteri" na ikasikika sawa kabisa..