Ndo haiwezekani sasa dunia nzima wawe na mtazamo kama wakoHakuna aliyekataa kama si la walimwengu wote na kwamba si jambo la kawaida,tunachopinga ni watu kutokukubali kurudi kwenye asili ya watu wenye lugha yao kuwa kama mzani wa kujua usahihi wa matamshi,kinyume na hapo ni uharibifu kama tunavyouona hii leo.
Unajua sisi tuna mifano ya watu ambao wanayatamka vyema majina ya watu wengine kama vile wayatamkavyo wenyewe.
Ndo haiwezekani sasa dunia nzima wawe na mtazamo kama wako
Usahihi upo kwa mhusika binafsi tu, na ndio maana tuna tamaduni tofauti ikimaanisha kwamba chochote ambacho hujiri huchujwa na tamaduni husika haijalishi kimetokea wapi ila kinapopokewa na tamaduni ya eneo fulani huendana na hali ya eneo hiloTuna angalia usahihi na haya ninayo yasema ndio yametufikisha hapa.
Ilikuwa lazima uanzishe uzi? Huu ufafanuzi wako si ungeweka kwenye huo uzi?
Usahihi upo kwa mhusika binafsi tu, na ndio maana tuna tamaduni tofauti ikimaanisha kwamba chochote ambacho hujiri huchujwa na tamaduni husika haijalishi kimetokea wapi ila kinapopokewa na tamaduni ya eneo fulani huendana na hali ya eneo hilo
Haijanikera ila nimeuliza tuImekukera nn tena na wewe
Elimu haimaanishi kubadilisha tamaduni bali kuongeza maarifa
Elimu haimaanishi kubadilisha tamaduni bali kuongeza maarifa
Naona unajadili vitu vingine tofauti sasaElimu huja kututoa katika hali duni kiutendaji na kutupeleka katika hali ya juu zaidi kiutendaji.
Mathalani kwa sisi tunaoamini dini ni kwamba elimu ya dini ilitutoa katika kuabudu (Mizimu,miti,masanamu na mfano wake) visivyodhuru wala visivyonufaisha na kutupeleka katika kumuabudu yule anae stahiki kuabudiwa.
Elimu inabadilisha sana tamaduni,kama una amini katika dini hili ni maarufu na zimeondolewa tamaduni nyingi za kininga na kuwekwa kilicho bora zaidi.
Asili ndio chanzo,kama mfatiliaji wa mambo ya kielimu hili utaliona na utakikubali.