Mkuu ukishaoa acha kujichua

Mkuu ukishaoa acha kujichua

Habari wakuu,
I know kwamba ni issue ambayo naweza kuikaushia ila nahisi ni tabia ambayo imenikera sana.

Hapa ninapoishi kuna jirani yangu nahisi ana urahibu wa kujichua, Alafu ubaya ni kwamba anajichulia bafuni ambapo vyoo vyetu hivi vya public inakuwa sio ustaarabu, Huyu mwamba ananikwaza zaidi pia jinsi nikitafakari kuwa ana mke na ana watoto wawili mapacha wana mwaka mmoja na bado mkewe ana mimba ndo anazidi kunikwaza[emoji35][emoji35][emoji35].

Hapa natamani kumchana live ila naona noma. Lengo hapa ni kwamba pengine kama yupo humu aone huu uzi aache tabia yake ya hovyo, Mtu una mke na watoto na mke ana mimba ila bado una unaendeshwa na nyege kama mpumbavu je, sisi single tufanye nini?, Ukishindwa kujizuia basi tafuta pa kufanyia hayo madude yako sio vyooni... Mtu unaingia bafuni unapishana na harufu ya bao[emoji35]

Na huku kama kuna mtu ana pigo hizo aache bana maana haijakaa poa mtu una mke na bado unajichua sasa maana ya mke ni nini?

Bullshit[emoji35]
Unamuonea wivu shehe kwa Bao la Nape! Cha,na wewe si upige?
 
Unanikumbusha kuna kipindi nipo chuoni kuna nyumba nilipanga tulikuwa tunakaa vijana watano tu, halafu tunashare jiko,Choo na Bafu.

Kuna mwenzetu kila akiingia akitoka aisee chumba cha bafu lazima unaiskia ile harufu ya bao. Sasa kuna siku shemeji yenu akaja, akakutana na ile harufu ya bao akaja nambia dah nikaona noma mimi.

Ndio mwanzo wa kuhama na kutafuta nyumba ya chumba self contained na tokea hapo sikuwahi tena kupatwa na hizi kero za kushare mabafu
 
Usipojichua watakuchua TU kwa blowjob ukienda saloon&Spa, tuache upotoshaji
 
Hizo sexual immoralities zote zikiwemo nyeto, usagaji, ushoga, tigo zinaendeshwa na evil spirits, hivyo ni ngumu kuacha kwa mtu ambaye hawezi kufanya personal reflection kuhusu maadili na hofu juu ya dhambi na uovu.....
 
Habari wakuu,
I know kwamba ni issue ambayo naweza kuikaushia ila nahisi ni tabia ambayo imenikera sana.

Hapa ninapoishi kuna jirani yangu nahisi ana urahibu wa kujichua, Alafu ubaya ni kwamba anajichulia bafuni ambapo vyoo vyetu hivi vya public inakuwa sio ustaarabu, Huyu mwamba ananikwaza zaidi pia jinsi nikitafakari kuwa ana mke na ana watoto wawili mapacha wana mwaka mmoja na bado mkewe ana mimba ndo anazidi kunikwaza😡😡😡.

Hapa natamani kumchana live ila naona noma. Lengo hapa ni kwamba pengine kama yupo humu aone huu uzi aache tabia yake ya hovyo, Mtu una mke na watoto na mke ana mimba ila bado una unaendeshwa na nyege kama mpumbavu je, sisi single tufanye nini?, Ukishindwa kujizuia basi tafuta pa kufanyia hayo madude yako sio vyooni... Mtu unaingia bafuni unapishana na harufu ya bao😡

Na huku kama kuna mtu ana pigo hizo aache bana maana haijakaa poa mtu una mke na bado unajichua sasa maana ya mke ni nini?

Bullshit😡
Unaujua utamu wa bao la punyeto wewe?😂😂😂😂
 
Unanikumbusha kuna kipindi nipo chuoni kuna nyumba nilipanga tulikuwa tunakaa vijana watano tu, halafu tunashare jiko,Choo na Bafu.

Kuna mwenzetu kila akiingia akitoka aisee chumba cha bafu lazima unaiskia ile harufu ya bao. Sasa kuna siku shemeji yenu akaja, akakutana na ile harufu ya bao akaja nambia dah nikaona noma mimi.

Ndio mwanzo wa kuhama na kutafuta nyumba ya chumba self contained na tokea hapo sikuwahi tena kupatwa na hizi kero za kushare mabafu
watu wanakataa bao halina harufu😁😁😁
 
Back
Top Bottom