🤣🤣🤣Bora ungenyamaza ila kwakuwa umeamua kumwaga ugali mm namwaga mboga,
Nasemaje Mwaka mpya nakuja Tena kwako jipange nakuja na wanangu wa faida watatu itabidi uombe media ya Ayo Tv Ili malalamiko Yako yaenee Kwa haraka.
Mkuu, maduka ya mangi yamefungwa, wapo uchagani kuroga.Yani bado unaendelea kunikwaza Mkuu?
Nimesema mimi nawewe sitaki tujuane kuanzia leo hii.
KAMA UNATAKA SODA NENDA KWA MANGI KAKOPE.
Mkuu kwenye hotpot vipi bado kuna mali zimebakia?Nakualika kama mtu wa karibu.
Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?
Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.
SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
Sàsa ungenielewesha kwamba lile hotpot la wote, nilijua kila mtu analetewa hot pot lake ndo nikabakisha ili ili nimalizie baadae. Ukweli sikushiba maana mlimalizia nilichoacha akiba.Nakualika kama mtu wa karibu.
Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?
Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.
SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
Msamehe bure hahahaaaKanikosea sana Mkuu.
Ungeniambia Tu palepale kuliko kunitangaza na huku.Nakualika kama mtu wa karibu.
Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?
Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.
SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
lakini na wewe semeji saa zingine unaletaga utani sana kwenye mambo ya msingi.Nakualika kama mtu wa karibu.
Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?
Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.
SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
Unafiki ni mwingi kwa wengi, unaalikwa ila roho zinawauma.mkuu ulivyonambia nijisikie nipo nyumbani ulikua na maana gani na ya nini mkuu?
this is africa and Africa is our businessUnafiki ni mwingi kwa wengi, unaalikwa ila roho zinawauma.
Ni hatari sanathis is africa and Africa is our business