Mkuu umenikosea sana kwenye Xmas

Mkuu umenikosea sana kwenye Xmas

255758001540_status_8a05923337c44126b1c0ac95f9ff7ce1.jpg
 
Nakualika kama mtu wa karibu.

Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?

Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.

SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
Mkuu kwenye hotpot vipi bado kuna mali zimebakia?
 
Nakualika kama mtu wa karibu.

Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?

Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.

SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
Sàsa ungenielewesha kwamba lile hotpot la wote, nilijua kila mtu analetewa hot pot lake ndo nikabakisha ili ili nimalizie baadae. Ukweli sikushiba maana mlimalizia nilichoacha akiba.
 
Nakualika kama mtu wa karibu.

Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?

Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.

SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
Ungeniambia Tu palepale kuliko kunitangaza na huku.

Sawa nanunua mchele kilo moja nikuletee uridhike

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Nakualika kama mtu wa karibu.

Nakukaribisha chakula, unapakua Nusu hotpot kweli?

Unajua tupo wanne mezani lakini unapakuwa chakula nusu Hotpot peke yako.

SIJAPENDA MKUU, NA HUU NDIO MUALIKO WAKO WA MWISHO SITAKI KUKUONA TENA KWANGU.
lakini na wewe semeji saa zingine unaletaga utani sana kwenye mambo ya msingi.

Hivi kweli kale kahotipoti ni ka watu wa4 kweli? Robo kilo mchele watu wanne kweli?

Tangu uko single kahotipoti ni kalekale hadi umeoa na watoto wawili...
Kumbe ndio maana hunenepi..
 
Back
Top Bottom