Mkuu wa chuo cha SAUT Mwanza ajiuzulu

Status
Not open for further replies.
Sina hamu na SAUT hata kidogo kwa chochote kile,acha niwe kimya
 
Labda niongee kwa ufupi sana, kwanza suala la penalty ni kitu kilichoniumiza sana tena sana hasa ukizingatia kuwa wengine ada ni kwa kudunduliza, pili kuna issue ilotokea kuhusu ada zilizichakachuliwa mwaka 2010 watu kulipishwa upya nikiwa mmoja wapo inaniuma mpaka leo na bado nimetunza risiti, kiukweli kiliniumiza sana, na mengineyo
 
Hebu chelewa kulipia kodi TRA, bill yako Tanesco au bill ya maji uone kama hutalipishwa penalty pia!

Hawa ni watu wa dini, siyo serikali. Any Government is an instrument of oppression. This is not an instrument of oppression, it is an instrument of Savior, from Jesus Christ. Wasipate hasara, walipe ada, kuchelewa na kutoza faini si maadili ya chombo cha dini. Waachie serikali to oppress its citizens and not religion to oppress its worshipers!!
 

Pole sana Mkuu endelea kutunza risiti.maybe hii capatalist system itaisha na watu kutatendewa haki.I can feel the pain pole sana.
 
Mleta mada anautangaza mfumo wetu wa elimu, hata sijui kwa nini tunalipa ada kwa ajili ya elimu kama wasomi tuko hivi
 

kwa nini ashindwe kulipa ada wakati kikwete ana pesa nyingi tu? si akamuombe amlipie? kwa hiyo unataka wakatoliki wakusomeshe bure!
 
Inawezekana walio upande wa SAUT ni matajiri, wanashare interest na wakatoliki,baadhi ya viongozi pale ni ndugu zao, BUT angalia na upande wa pili wa shilingi kuwa sio wote wanaosoma vyuo au shule za bei ghali wana hela
 
Inawezekana walio upande wa SAUT ni matajiri, wanashare interest na wakatoliki,baadhi ya viongozi pale ni ndugu zao, BUT angalia na upande wa pili wa shilingi kuwa sio wote wanaosoma vyuo au shule za bei ghali wana hela

Mkuu vilevile lile somo la kifaransa ni condition ya wadhamini na wanapewa hela nyingi sana kwa kuliweka.Ila linafundishwa tu kutimiza masharti hakuna seriousness yeyote.sasa haya mamilioni ya hela hayawatoshi mpaka wabuni penalty za kuwakamua walala hoi.
 
Ni mtindo wa taasis binafsi huo ovyo sana.mf mtoto akichelewa shule siku moja anatimliwa shule.na baadhi ya sekondari binafsi wanataka watoto waliofaulu sana std 7 au form 2 ubaguzi mtupu.eti zajiita saint

Hapa naona chuki tuu....Pole sana...Ulitaka zijiiteje...?????
 

Wewe utakuwa kijukuu cha mwamedi..
 
Mbona hiyo ilianza zamani yeye alikuwa hajaijua? Sema tu kabanwa mbavu na wakubwa zake.
 
Wewe umeandika chuki zako dhidi ya ukristo na wala si kuchangia topic
 
walipo wabebesha viti wahitimu mwaka jana siku ya mahafali huku wamesha chukua hamsini na kitu zao hapo ndo nilipochoka.....
 

hpo mjomba lilikua janga la saut et wanachuo wanapewa risiti halafu wakuja kuambiwa walipe upya sijawahi ona kitu km hii
 
Wewe utakuwa kijukuu cha mwamedi..

Mimi ni mkatoliki wa kweli lakini matendo mengine siyataki, hatufanyi biashara, tunatoa huduma mradi tusiendeshe kwa hasara tuweze kudumu vema. Faini is not part of a developmental source of funds!
 
kaa hivyo hivyo na imani yako ,kumbuka iman pasipo matendo imekufa,SAUTI wametutesa sana hata Fr kitima analijua hilo.Jiulize kwanini ma fr wanashindwa kumpa mwenzao ushirikiano.
Chuki zitakuua wewe...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…