Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hamu na SAUT hata kidogo kwa chochote kile,acha niwe kimya
Hebu chelewa kulipia kodi TRA, bill yako Tanesco au bill ya maji uone kama hutalipishwa penalty pia!
Labda niongee kwa ufupi sana, kwanza suala la penalty ni kitu kilichoniumiza sana tena sana hasa ukizingatia kuwa wengine ada ni kwa kudunduliza, pili kuna issue ilotokea kuhusu ada zilizichakachuliwa mwaka 2010 watu kulipishwa upya nikiwa mmoja wapo inaniuma mpaka leo na bado nimetunza risiti, kiukweli kiliniumiza sana, na mengineyo
Hawa wakatoliki wapuuzi, mtu kashindwa kulipa ada unampiga faini atalipa toka wapi. kama angelikuwa na ada angelipa , sasa unampiga faini wakati hata ada yenyewe kashindwa kulipa. Stupid these people so called representing Jesus! They are representing Satan!
Inawezekana walio upande wa SAUT ni matajiri, wanashare interest na wakatoliki,baadhi ya viongozi pale ni ndugu zao, BUT angalia na upande wa pili wa shilingi kuwa sio wote wanaosoma vyuo au shule za bei ghali wana hela
Ni mtindo wa taasis binafsi huo ovyo sana.mf mtoto akichelewa shule siku moja anatimliwa shule.na baadhi ya sekondari binafsi wanataka watoto waliofaulu sana std 7 au form 2 ubaguzi mtupu.eti zajiita saint
vyuo vyote vya SAUT ni wezi wakubwa tena si watu wa dini kama tunavyofikiri
Hata unachokifundisha hujui kinaitwaje, ...Relation au ...Relations???!!!
Hawa wakatoliki wapuuzi, mtu kashindwa kulipa ada unampiga faini atalipa toka wapi. kama angelikuwa na ada angelipa , sasa unampiga faini wakati hata ada yenyewe kashindwa kulipa. Stupid these people so called representing Jesus! They are representing Satan!
katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya laki moja wachelewapo kulipa ada ameuliza hyo penalty inaenda wap na kwanini wanafunzi wapigwe penalty,source mimi mwenyewe lecturer naitwa slaa
Kanisa na ukristu ni janga kibwa sana kwa binadamu.
hizo penat hazikuwepo.ila zimewekwa baada ya muda.sasa ni roho mtakatifu gani alifanya haya maamuzi
wanafunzi kuvaa nguo za uchi kwa miaka mingi ilikuwa na baraka za kanisa.Baadae sijui wakashtuka nini sheria za nguo zikaja.kanisa lilikuwa wapi mda wote.
kanisa limekua ndumilakuwili kama imani yake ya ukrusto isivyobumbwabumbwa na kujaa upotofu.
Ukristo ni kuumiza waumini kwa madili ya hela.tena makanisa mengine bila michango hawajakuelewa.
ila ni wachache sana wenye uwezo kwa kuona hii hasara ya milele iliyo juu yao.
Eee Mungu tusaidie na hili janga.
Copy to Fr MSAFIRI.
Labda niongee kwa ufupi sana, kwanza suala la penalty ni kitu kilichoniumiza sana tena sana hasa ukizingatia kuwa wengine ada ni kwa kudunduliza, pili kuna issue ilotokea kuhusu ada zilizichakachuliwa mwaka 2010 watu kulipishwa upya nikiwa mmoja wapo inaniuma mpaka leo na bado nimetunza risiti, kiukweli kiliniumiza sana, na mengineyo
Wewe utakuwa kijukuu cha mwamedi..
kwa nini ashindwe kulipa ada wakati kikwete ana pesa nyingi tu? si akamuombe amlipie? kwa hiyo unataka wakatoliki wakusomeshe bure!
Chuki zitakuua wewe...