Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mimi ni mkatoliki wa kweli lakini matendo mengine siyataki, hatufanyi biashara, tunatoa huduma mradi tusiendeshe kwa hasara tuweze kudumu vema. Faini is not part of a developmental source of funds!
kaa hivyo hivyo na imani yako ,kumbuka iman pasipo matendo imekufa,SAUTI wametutesa sana hata Fr kitima analijua hilo.Jiulize kwanini ma fr wanashindwa kumpa mwenzao ushirikiano.
Hebu wacha kunichekesha we zuzu........Hii kauli unajua inamaanisha nini....."Hawa Wakatoliki"......
Kama ungekuwa Mkatoliki kweli kama unavyojinasibu hiyo kauli usingeitumia.."Hawa Wakatoliki"..........Ni mpu.mb.avu tuu ndiye atakaye amini.....
Mungu wangu, hivi hii thread umeisoma kweli?Chadema lazima warudie asili yao kuwa chama cha kuweka na kukopa cha jamii yamkule kwao.
Sijakuelewa na sitakuelewa, kwa heri!
Yan mapadre wanaoishi kwa sadaka za waumini wa kipato cha chini, ndo hao hao wanakubaliana kupitisha sheria kandamizi kwa mtoto wa kimaskini kupata Hak ya kimsingi, Elimu. Waafrika tunakwamishana wenyewe kusukuma gurudum la maendeleo.
huwezi kunielewa kwa sababu wewe ni hardheaded!
unafundisha kozi gani hapo mkuu?
katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya laki moja wachelewapo kulipa ada ameuliza hyo penalty inaenda wap na kwanini wanafunzi wapigwe penalty,source mimi mwenyewe lecturer naitwa slaa
public relation