Mkuu wa chuo cha SAUT Mwanza ajiuzulu

Mkuu wa chuo cha SAUT Mwanza ajiuzulu

Status
Not open for further replies.
Mimi ni mkatoliki wa kweli lakini matendo mengine siyataki, hatufanyi biashara, tunatoa huduma mradi tusiendeshe kwa hasara tuweze kudumu vema. Faini is not part of a developmental source of funds!

Hebu wacha kunichekesha we zuzu........Hii kauli unajua inamaanisha nini....."Hawa Wakatoliki"......

Kama ungekuwa Mkatoliki kweli kama unavyojinasibu hiyo kauli usingeitumia.."Hawa Wakatoliki"..........Ni mpu.mb.avu tuu ndiye atakaye amini.....
 
kaa hivyo hivyo na imani yako ,kumbuka iman pasipo matendo imekufa,SAUTI wametutesa sana hata Fr kitima analijua hilo.Jiulize kwanini ma fr wanashindwa kumpa mwenzao ushirikiano.

Sijaona mahali nimeongolea masuala ya Imani....Sijui umetoka wapi na kituko hiki..
 
Hebu wacha kunichekesha we zuzu........Hii kauli unajua inamaanisha nini....."Hawa Wakatoliki"......

Kama ungekuwa Mkatoliki kweli kama unavyojinasibu hiyo kauli usingeitumia.."Hawa Wakatoliki"..........Ni mpu.mb.avu tuu ndiye atakaye amini.....

umenitukana nami nakutukana zuzu ni mama na baba zako.
 
Yan mapadre wanaoishi kwa sadaka za waumini wa kipato cha chini, ndo hao hao wanakubaliana kupitisha sheria kandamizi kwa mtoto wa kimaskini kupata Hak ya kimsingi, Elimu. Waafrika tunakwamishana wenyewe kusukuma gurudum la maendeleo.


U achanganya mambo! Kuwa mtoto wa masking au tajiri sio hoja katika nidhamu! Baada ya kusajiliwa chuoni, Wote ni sawa, na Kama ni wa familia maskini basi ipo haja ya kuwa mwangalifu zaidi, kutii na kuchapa kazi ili kukwepa kuona na hivyo faint. Hatubembelezi watoto, tunafundisha Kama ni Kwa kiboko na Iwe ilmradi Mtu a stahili digrii yake
 
Issue ya SAUT ni ngumu sana...na tatizo zima ni padri Kitima ambaye ndo alikuwa VC kabla....
Huyu jamaa ameacha madeni ya kupindukia pale chuoni...na chuo kinashindwa kujiendesha. Kitima pamoja na upadre wake amekuwa akishinda kwa waganga na kuloga ili baraza la maaskofu lisimchukulie hatua. Kitimaamejilimbikizia sana pesa na lengo lake ni kugombea ubunge huko singida mwakani. Aliwaingiza mkenge maaskofu kwa kuanzisha vyuo vya kata majimboni mwao ili kuwapoza but now ukweli unaanza kufunguka wenyewe.
 
wewe huijui system za kikatoliki! Kitu kama hicho ni mawazo yako tu! Kujiuzulu kwenye system za kikatoliki hasa ukiwa Priest ni jambo la ndani sana ambalo mtu wa chini kama wewe Mwl huwezi kujua na utaishia kuspeculate reasons forever. Afu we wala sio Slaa!
unafundisha kozi gani hapo mkuu?
 
katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya laki moja wachelewapo kulipa ada ameuliza hyo penalty inaenda wap na kwanini wanafunzi wapigwe penalty,source mimi mwenyewe lecturer naitwa slaa

mtoa mada siamini kama wewe ni lecturer wa SAUT kama unavyojiita mwenyewe eti SLAA, hiki chuo hakina mhadhiri mwenye jina hilo bali hapo zamani alikuwepo mhadhiri akiitwa EMMANUEL SILAA alimaliza mkataba wake wa kufundisha SAUT tangu August 2013 kwa sasa anafanya shughuli zake binafsi mkoani mwanza na kilimanjaro.
 
Penalt wamepigwa kwa sababu mahalumu coz wanafunzi wanapewa ada hawalipi kwa mda na wengne walishirikiana na raisi wa chuo na viongozi wengne kukihujumu chuo ie mtu wanampatia rais wa chuo laki tano unapewa risiti ya malipo ya milioni moja huoni ni hasara kwa chuo? Wengne ada walizigeuza mtaji wanalipa mitihani ikifika Je hicho chuo kitajiendeshaje? Japo wapo ambao walikua hawana izo ada ila walio wengi walifanya mchezo mchafu, mimi pia mwanafunzi mhitimu wa saut mwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom