Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Vita ile sio ya msituni tena. Ngoma ipo moto sana sasa kupitia mitandao ya kijamii.
Mitandao kibao sasa kuna hashtag #freebanyamulenge.

Jamaa wanatengeneza chuki dhidi ya serikali ya DRC, majeshi yanayolinda amani na jeshi la DRC, Lengo iwe ni taifa huru la wanyamurenge lizaliwe.
 
Jk alinuia kufanya nini hasa na hizo operations?..

Msituchoke wengine tuna krismasi moja tu hapa mjini daslam..hivi vitu vilitupita.
Ndiyo kipindi kile kwenye sikukuu fulani tulionyeshwa nguvu za Tz kijeshi, yaani aina za magari ya kivita, ndege, ubabe wao na kadhalika. Show ilikuwa pale uwanja wa Taifa na kama sikosei ilikuwa kipindi cha Mwamunyange.

Wengine tulibaki kujiuliza kunani? Ndiyo baadae tukapata taarifa kwa redio mbao kwamba ile ilikuwa show ya kumuonyesha jirani asicheze na vijana ambao wamefika mjini zamani na kiumri ni wakubwa kuliko yeye.
 

hahaha [emoji1][emoji1]
 

sijaelewa chief!!
kwahiyo Mtikila alikua anashirikiana na hao waasi wa FDLR?
 
Dah nilipoona tu chuo kikuu cha victoria nilifikiri ni hapa Tanzania ikabidi chap niende kwenye guide book ya TCU aisee kumbe ni kwa M7
 
Ni vyema serikali ya M7 impe uraia wa Uganda huyu jamaa maana ameutafuta kwa muda sana na waache kuishi kwa hofu.
Huyo jamaa Ni wa kabila la Banyarwanda na ni raia wanaotambuliwa Kama kabila mojawapo la Uganda(kabila la 24),huyo Muganga amekua kwny kampeni za Muda mrefu za kutaka jina la Hilo kabila libadilishwe kutoka Banyarwanda liitwe Abavandimwe maana anasema wakiitwa Banyarwanda wanafananishwa na wanyarwanda hivyo kukosa Haki zao za kimsingi kama raia wengine wa Uganda.Mkewe ndiye raia wa Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…