Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Vita ile sio ya msituni tena. Ngoma ipo moto sana sasa kupitia mitandao ya kijamii.Na hio sijui itafanikiwa lini maana mpk sasa ni next to impossible kufanya hivyo.Mbabe aliyefanya kitu kama hicho kwa miaka ya karibuni ni Putin kwa kuimega Crimea na bado anakutana vikwazo vya kiuchumi vya kufa mtu,sasa hawa maskini wenzetu wa hapo East Africa sijui watafanikishaje hilo?
Mitandao kibao sasa kuna hashtag #freebanyamulenge.
Jamaa wanatengeneza chuki dhidi ya serikali ya DRC, majeshi yanayolinda amani na jeshi la DRC, Lengo iwe ni taifa huru la wanyamurenge lizaliwe.