Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Na hio sijui itafanikiwa lini maana mpk sasa ni next to impossible kufanya hivyo.Mbabe aliyefanya kitu kama hicho kwa miaka ya karibuni ni Putin kwa kuimega Crimea na bado anakutana vikwazo vya kiuchumi vya kufa mtu,sasa hawa maskini wenzetu wa hapo East Africa sijui watafanikishaje hilo?
Vita ile sio ya msituni tena. Ngoma ipo moto sana sasa kupitia mitandao ya kijamii.
Mitandao kibao sasa kuna hashtag #freebanyamulenge.

Jamaa wanatengeneza chuki dhidi ya serikali ya DRC, majeshi yanayolinda amani na jeshi la DRC, Lengo iwe ni taifa huru la wanyamurenge lizaliwe.
 
Jk alinuia kufanya nini hasa na hizo operations?..

Msituchoke wengine tuna krismasi moja tu hapa mjini daslam..hivi vitu vilitupita.
Ndiyo kipindi kile kwenye sikukuu fulani tulionyeshwa nguvu za Tz kijeshi, yaani aina za magari ya kivita, ndege, ubabe wao na kadhalika. Show ilikuwa pale uwanja wa Taifa na kama sikosei ilikuwa kipindi cha Mwamunyange.

Wengine tulibaki kujiuliza kunani? Ndiyo baadae tukapata taarifa kwa redio mbao kwamba ile ilikuwa show ya kumuonyesha jirani asicheze na vijana ambao wamefika mjini zamani na kiumri ni wakubwa kuliko yeye.
 
Kwenye suala la PK na JK lazima kuna kitu, JK alinusa! Ndiyo maana alianzisha operation,tokomeza na operation Kimbunga,kule kwenye mapori ya Kagera wanyarwanda walikua wamejaa tele!

Na huu ulikua mtego kwa PK ajibu kwa msela mtoto wa mjini JK,ndiyo Kagame angeona cha moto! PK hakujibu,alikaa zake kimya tu,zaidi yakusema maneno ya kike kwamba JK ni handsome,hawezi pokea ushauri toka kwake

Sent using Jamii Forums mobile app

hahaha [emoji1][emoji1]
 
Mtikila hakuwa wa kawaida na kwa ule waraka alioutoa,na infact waraka wenyewe alipewa na Wazee wa kitengo yeye alikua muwasilishaji tu.

Wale waasi wa fdlr walikua ni wageni wa Mtikila nyumbani kwake kipindi flani hivi hapo dar,wakamalizana nae wakarudi Kupanda boti kigoma ya kwenda Congo haijuilikani kilitokea nini lkn hawakufika Congo walitekwa njiani wakapelekwa Kigali haraka tu.

So possibly Jamaa walikua na mkono wa kifo chake labda.

sijaelewa chief!!
kwahiyo Mtikila alikua anashirikiana na hao waasi wa FDLR?
 
Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.

Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.

Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mafanikio.
Dah nilipoona tu chuo kikuu cha victoria nilifikiri ni hapa Tanzania ikabidi chap niende kwenye guide book ya TCU aisee kumbe ni kwa M7
 
Ni vyema serikali ya M7 impe uraia wa Uganda huyu jamaa maana ameutafuta kwa muda sana na waache kuishi kwa hofu.
Huyo jamaa Ni wa kabila la Banyarwanda na ni raia wanaotambuliwa Kama kabila mojawapo la Uganda(kabila la 24),huyo Muganga amekua kwny kampeni za Muda mrefu za kutaka jina la Hilo kabila libadilishwe kutoka Banyarwanda liitwe Abavandimwe maana anasema wakiitwa Banyarwanda wanafananishwa na wanyarwanda hivyo kukosa Haki zao za kimsingi kama raia wengine wa Uganda.Mkewe ndiye raia wa Rwanda.
 
Back
Top Bottom