Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Kifo chake kina utata?..if so,mkono ni wa nani mkuu?
Hata sifahamu mkuu, Possibly Ni mkono wa PK Kama wasemavyo wazoefu au labda Ni ajali ya kawaida.

Hio siku kabla ya ajali alisema anaenda Kule tume ya Taifa ya uchaguzi kwenda kupinga mamvi kugombea urais kwa sababu ni unfit(kiafya) na alikua anasema ana nyaraka za kuthibitisha hilo.

Sijahusisha tukio hilo na ajali Ila nimekumbuka tu alikata Moto kabla ya lengo lake kufikiwa.
 
Wala samia hata fanya chochote, na wala hata mwamwimbia Kenyatta kuwa " nakusubiri katika sehemu husika na nikupigie" na wala hata toa matusi juu ya serikali ya Kenya na wala propaganda kuhusu za familia ya kenyata kwenye mitandao , Kama chombo Cha habari kimoja Cha Rwanda kutoa habari kuwa mke wa kikwete Ni muhutu na Ana mahusiano na juvenal.
 
Basi Kama hataweza kufanya chochote acha wenye kuweza kubonga wabonge.
 
Ndio atulie sasa asilie lie akiwa anapapaswa papaswa na jasusi.
Mkuu mtu yeyote anaenda kufanya ujasusi nchi jirani , akikamatwa adhabu Ni kifungo Cha maisha au kunyongwa,
M7 anafahamu Sana Kuna raia wa rwanda wengi Sana Uganda hasa watutsi, walikuwepo huko kutokana na machafuko ya mwaka 1959, 1973 na 1994, na ndio Maana anakuwa makini Sana.
 
Na ndio waliomuweka madarakani ye mwenyewe M7,Ni vyema akiwa Makini nao.
 
 
Swali zuri sana! Aki
Kwani M7 aliwekwa na Nani kua rais?

Bora wewe historia unafatilia,waulize Rwigyema wanamjua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…