Wahabalishe wasio jua historia hao!!Huku mnyarwandwa Major General Rwigyema akiwa kaimu waziri wa ulinzi wa Uganda ndiye aliyeongoza vita ya kuikamata Uganda wkt huo M7 akiwa Sweden na familia yake,huku Kagame akawa Chief of military Intelligence (CMI).
Na akijichanganya tena ndio atauona moto wa kweli! Kwa sasa jishi liko vizuri zaidi.Mara ya mwisho Uganda na Rwanda kupigana Ni Kisangani,ambako Uganda alipigwa mara 3.Hawajawahi kupigana tena mpk leo.
Kama una source nyingine kuonyesha walipigana tena baada ya hapo unaweza kutuwekea hapa tujifunze zaidi mkuu.
sasa si umeharibu familia yake wamejua?Yule jamaa nasikia alifinywa hapa hapa bongo,issue ya kusepa ilikua uzushi tu kupunguza maswali ya familia yake
Aliachiwa huyo! Boss wake wa kihindi alimtoa. Yani pale kwa sasa usipo elewana na mtu kitu fulani ana kuitia CMI eti we ni jasusi wa kagame. Ile nchi imefika pabaya!Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.
Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.
Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mafanikio.
Walimpuuza na akauawaMtikila alisema mkampuuza
Kuna raia wenu kule 2 wameuwawa anzeni kurusha missile au vipiNa akijichanganya tena ndio atauona moto wa kweli! Kwa sasa jishi liko vizuri zaidi.
View attachment 1939365
Sasa ataachaje kua na wasiwasi wkt huyo Kagame alishawahi kua mkuu wa ma spy jeshini kwake mkuu, hapo anazuga tu.huyu Mu7 si kasema hana wasi wasi kabisa kuspaiwa na Kagame kwa sababu wanajipotezea muda, siri zote anazitunza yeye kichwani mwakeβ¦
kumbe ana wasi wasi na anatapa tapa
Sikiliza kuanzia dakika ya 8
Kwani raia wa Uganda nao si kila Mara wanachezea chuma wakivuka boda kuingia Rwanda,wanarudishwaga wakiwa kwny box huko Uganda.mwendo Ni huo huo tu atakaechoka Kati yao aanzishe Vita tuone Nani mwanaume.Kuna raia wenu kule 2 wameuwawa anzeni kurusha missile au vipi
Hii kitu mpk Leo inamuuma Sana M7 anatamanigi kulipiza kisasi Ila ndo hivo tena uwezo huo hana,alikulaga kichapo heavy hadi ikabd akimbilie Uingereza kuomba yule Bibi awasuluhishe.Na akijichanganya tena ndio atauona moto wa kweli! Kwa sasa jishi liko vizuri zaidi.
View attachment 1939365
Wanokufa si raia tuu , wao wapo zao ikulu wanakula Bata , wanaolia ni wengine.Kwani raia wa Uganda nao si kila Mara wanachezea chuma wakivuka boda kuingia Rwanda,wanarudishwaga wakiwa kwny box huko Uganda.mwendo Ni huo huo tu atakaechoka Kati yao aanzishe Vita tuone Nani mwanaume.
Ni zaidi ya miaka 30 iliyopita, mfumo anaojua yeye aliouacha na Siri za kipindi kile , haziwezi zikawa Ni zilezile , kwa sababu Ni mda ushapita mrefu , angekuwa anajua vitu vingi asingekuwa anangaika kuspy Uganda .Sasa ataachaje kua na wasiwasi wkt huyo Kagame alishawahi kua mkuu wa ma spy jeshini kwake mkuu, hapo anazuga tu.
Lini na je ni mpinzani?Kuna Mnyarwanda amelimwa shaba huko Maputo..je ni mwendelezo wa PK kuwatafuta watesi wake popote waendapo?
Yule alikua interahamwe bala!! Ni ex army wa habyarimana,alimua mkuu wa Rwanda diaspora in mozambiqe Mr Baziga.Kuna Mnyarwanda amelimwa shaba huko Maputo..je ni mwendelezo wa PK kuwatafuta watesi wake popote waendapo?
πππ so amatuer.Ni zaidi ya miaka 30 iliyopita, mfumo anaojua yeye aliouacha na Siri za kipindi kile , haziwezi zikawa Ni zilezile , kwa sababu Ni mda ushapita mrefu , angekuwa anajua vitu vingi asingekuwa anangaika kuspy Uganda .
Ndio maana ya kua mnyonge hio.Wanokufa si raia tuu , wao wapo zao ikulu wanakula Bata , wanaolia ni wengine.
Burundu ni Mimi-Tanzania.Labda Tanzania iwe imekufa .Japo hawana faida ila Warundi ndio watoto wetu wa hali na mali sijuagi kwanini
Kama Ni member wa RNC ndio ameshaliwa kichwa hivyo.Nyamwasa analiwa timing tu.Kuna Mnyarwanda amelimwa shaba huko Maputo..je ni mwendelezo wa PK kuwatafuta watesi wake popote waendapo?
Juzi..niliona kwenye dira ya dunia ya BBC swahili.Lini na je ni mpinzani?