Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Huku mnyarwandwa Major General Rwigyema akiwa kaimu waziri wa ulinzi wa Uganda ndiye aliyeongoza vita ya kuikamata Uganda wkt huo M7 akiwa Sweden na familia yake,huku Kagame akawa Chief of military Intelligence (CMI).
Wahabalishe wasio jua historia hao!!
 
Mara ya mwisho Uganda na Rwanda kupigana Ni Kisangani,ambako Uganda alipigwa mara 3.Hawajawahi kupigana tena mpk leo.

Kama una source nyingine kuonyesha walipigana tena baada ya hapo unaweza kutuwekea hapa tujifunze zaidi mkuu.
Na akijichanganya tena ndio atauona moto wa kweli! Kwa sasa jishi liko vizuri zaidi.

IMG_20210915_194345.jpg
 
Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.

Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.

Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana chini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mafanikio.
Aliachiwa huyo! Boss wake wa kihindi alimtoa. Yani pale kwa sasa usipo elewana na mtu kitu fulani ana kuitia CMI eti we ni jasusi wa kagame. Ile nchi imefika pabaya!

20210915_195911.png
 
huyu Mu7 si kasema hana wasi wasi kabisa kuspaiwa na Kagame kwa sababu wanajipotezea muda, siri zote anazitunza yeye kichwani mwake…

kumbe ana wasi wasi na anatapa tapa

Sikiliza kuanzia dakika ya 8

huyu Mu7 si kasema hana wasi wasi kabisa kuspaiwa na Kagame kwa sababu wanajipotezea muda, siri zote anazitunza yeye kichwani mwake…

kumbe ana wasi wasi na anatapa tapa

Sikiliza kuanzia dakika ya 8

Sasa ataachaje kua na wasiwasi wkt huyo Kagame alishawahi kua mkuu wa ma spy jeshini kwake mkuu, hapo anazuga tu.
 
Kuna raia wenu kule 2 wameuwawa anzeni kurusha missile au vipi
Kwani raia wa Uganda nao si kila Mara wanachezea chuma wakivuka boda kuingia Rwanda,wanarudishwaga wakiwa kwny box huko Uganda.mwendo Ni huo huo tu atakaechoka Kati yao aanzishe Vita tuone Nani mwanaume.
 
Wanokufa si raia tuu , wao wapo zao ikulu wanakula Bata , wanaolia ni wengine.
 
Sasa ataachaje kua na wasiwasi wkt huyo Kagame alishawahi kua mkuu wa ma spy jeshini kwake mkuu, hapo anazuga tu.
Ni zaidi ya miaka 30 iliyopita, mfumo anaojua yeye aliouacha na Siri za kipindi kile , haziwezi zikawa Ni zilezile , kwa sababu Ni mda ushapita mrefu , angekuwa anajua vitu vingi asingekuwa anangaika kuspy Uganda .
 
Kuna Mnyarwanda amelimwa shaba huko Maputo..je ni mwendelezo wa PK kuwatafuta watesi wake popote waendapo?
Yule alikua interahamwe bala!! Ni ex army wa habyarimana,alimua mkuu wa Rwanda diaspora in mozambiqe Mr Baziga.
 
Ni zaidi ya miaka 30 iliyopita, mfumo anaojua yeye aliouacha na Siri za kipindi kile , haziwezi zikawa Ni zilezile , kwa sababu Ni mda ushapita mrefu , angekuwa anajua vitu vingi asingekuwa anangaika kuspy Uganda .
😄😄😄 so amatuer.
 
Labda Tanzania iwe imekufa .Japo hawana faida ila Warundi ndio watoto wetu wa hali na mali sijuagi kwanini
Burundu ni Mimi-Tanzania.

Burundi kila kitu ni Tanzania(kiuchumi,kijamii,kisiasa,kiusalama).

Ardhi ya Congo DRC ni ardhi ya majaribio ya shughuli zote za kisayansi,kivita nk.Kukaa stable haijikutokea karibuni.

Mapandikizi ya wachota taarifa katika nchi zetu hizi ni wengi sana haishangazi.
 
Kuna Mnyarwanda amelimwa shaba huko Maputo..je ni mwendelezo wa PK kuwatafuta watesi wake popote waendapo?
Kama Ni member wa RNC ndio ameshaliwa kichwa hivyo.Nyamwasa analiwa timing tu.
 
Back
Top Bottom