Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

Watumwa wana wajadili mabwana zao
Inasikitisha. Ukisoma mada na comments kadhaa hapa unapata picha jinsi waafrika (watu mweusi) walivyokuwa wakifanywa watumwa na makoloni kirahisi kuliko jamii zingine.

Wao badala ya kupambania haki zao, uhuru wao, hali zao na utu wao binafsi kutwa kuchwa ni kutukuza madikteta, miamba na mabeberu. Kusifia na kufurahia ukatili wao jinsi wanavyowasulubu mahasimu wao na wanyonge wasiotaka kuwapigia magoti!!???
 
Hahahahaha..na ndio ma GT lkn mada na michango yao ndio kama hiyo
 
Ni wanafiki sana.... Israel alipovamia Palestina unaambiwa ni halali kisa walishambuliwa "kigaidi". Cha ajabu Russia akijibu mapigo utasikia kelele kibao.

I used to sympathise with Ukraine ila tokea double standards za Gaza, hakuna wakati natamani hawa Pro-US watandikwe kama sasa.
Duh Mkuu na wewe sasa unachukua sides za nchi: pro-Russia, pro-Ukraine, pro-US, pro-? Mimi nilifikiri uko pro-objectivity.

Mimi kwa mfano, nimeuona unafiki wa US kwenye suala la Israel. Sio leo tu bali kwa miaka mingi. Sasa hivi limekuwa wazi sana. Yaani mpaka wafanyakazi wazungu wa WCK wameuawa na Israel in cold blood ndipo wanajidai kutoa vitisho kwa Israel!

Pamoja na hayo, najua US na West si totalitarian states kama zilivyo Russia na China. Kuna public discourse na vuguvugu la wananchi linaweza kurekebisha sera ya nje ya Marekani. Effect ya WCK ni indicator ya hiyo public discourse. Hivyo, siko na US kwenye genocide ya Gaza.

Naendelea ku-sympathise na Ukraine katika vita yao ya kujikomboa toka kwa tishio la kupokwa sovereignty yao na dikteta wa Urusi. That’s a matter of principle. Support ya US iwepo isiwepo haibadilishi hiyo principle. Siwezi kukubaliana na wazo lolote la kuitaka Ukraine ijisalimishe na kujikabidhi kwa Putin.
 
Bora niwe chawa sio kufanya upuuzi kwenye nchi ya bwana yulee😂😂😂

Mtu kaletwa mahakamani na kitanda ili asikilize kesi yake😂😂😂
Urusi maisha magumu kulinganisha na ulaya magharibi na America.......afu kule ubabe babe......ila wezi,wahuni,majangili na wapinzani wa serikali wapo tu.
 
Naendelea ku-sympathise na Ukraine katika vita yao ya kujikomboa toka kwa tishio la kupokwa sovereignty yao na dikteta wa Urusi. That’s a matter of principle. Support ya US iwepo isiwepo haibadilishi hiyo principle. Siwezi kukubaliana na wazo lolote la kuitaka Ukraine ijisalimishe na kujikabidhi kwa Putin.
Mkuu anachofanya Putin ndio anachofanya Netanyahu.... cha ajabu watu wana sympathy kwa Kyiv sio Gaza!! Hizi double standards zinashangaza sana.
 
Mkuu anachofanya Putin ndio anachofanya Netanyahu.... cha ajabu watu wana sympathy kwa Kyiv sio Gaza!! Hizi double standards zinashangaza sana.
Let them be. There are lots of noisy low minds. Hatuwezi kuwazuia.

Mimi napata matumaini napofuatilia mijadala critical inayoendelea duniani kuhusu hizi paradoxes. Hata kwenye jumuia zangu za Kikristo tunaijadili dhana nzima ya “taifa teule” na agano la Mungu na Ibrahim vs Mafundisho ya Kristo na Agano Jipya. Mkristo anayeelewa Neno, hawezi kuunga mkono genocide inayoendelea Gaza.

Sera za Marekani zimefunikwa na wingu zito la ghilba ya ultra-orthodox Jewish lobby na ignorant evangelical Christians. Nashangaa sana. Watu wanaamini tatizo la Israel litatatuliwa kwa kuua vizazi vya Wapalestina na kulifuta taifa lao! Ujinga ule ule aliofanya Hitler kujiaminisha kuwa atamaliza tatizo kwa kuwaangamiza wayahudi na taifa lao Ulaya nzima (the final solution).

Kwa bahati nzuri vijana wengi duniani hata wa kiyahudi wameanza kuhoji mkakati huo wa kishetani wa Netanyahu & co. So we’ll continue interacting with voices of reason all along.

Kwa Ukraine, tukikubali Putin atandaze utawala wake wa kiimla na kuua demokrasia basi hatutakuwa na sauti tena na watu wanaotutawala kimabavu. Ni kama tunakubali kuwa subservience to dictators is the way to go.
 
ISIS kundi hilo limeanzishwa na israel pamoja na Marekani 😅😅😅...Wanachukua watu wa kukodi mitandaoni ukanda wa Asia ili wafanye matukio ,hao jamaa kutwa ili kuchafua dini ya uislamu.
 
Back
Top Bottom