Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 kuna dini gani inaruhusu watu kuua sasa? Anaeua ni mtu sio dini yake.Umejuwaje kama wale ni Waislam? Muislam haruhusiwi kuua bila sababu. Na sababu zake ni mbili tu, au vita au kisasi.
Eti Waisrael weusi.Waisrael weusi mbona mnaupita huu uzi Putin kakamata magaidi.
😂
Unaonesha kuwa una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii.🤣🤣 kuna dini gani inaruhusu watu kuua sasa? Anaeua ni mtu sio dini yake.
Ila ukiua tunakuhukumu wewe na dini yako iliyokulea vibaya.
Ndiyo..Kwan kuna sehem wamesema hao ni waislam
Inawezekana wanaona uzi umejaa umbea, porojo, mihemko na ushabiki maandazi..Waisrael weusi mbona mnaupita huu uzi Putin kakamata magaidi.
😂
Chanzo cha taarifa ilikuwa waislamu wa ISIS wenyewe waliotangaza na kukiri kuhusika kwenye mtandao waoBaada ya shambulizi BBC walisema kuwa waliohusika ni waislam
Hizi ni porojo?Inawezekana wanaona uzi umejaa porojo, mihemko na ushabiki maandazi..
Mtoa mada hajaweka source yoyote credible hapa
The investigation has information that the perpetrators of the terrorist attack received significant amounts of money and cryptocurrency from Ukraine.>>>>>>>>>>>>>>>>>
Unataka Source gani?>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Chanzo cha taarifa ilikuwa waislamu wa ISIS wenyewe waliotangaza na kukiri kuhusika kwenye mtandao wa
Porojo ingine hii zipo nyingi
View: https://x.com/bricsinfo/status/1773183650890150247?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukumbi.
Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow".
Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...
.![]()
Info-Flash - United Kingdom : Actualités
United Kingdom - Accédez en temps réel à toutes les informations locales et nationales, telles que les événements sportifs, les emplacements des défibrillateurs, les sorties, les actualités ainsi que les alertes locales et nationales.www.info-flash.com
---
Russian Federal Security Service Chief said today, “the US, Britain, and Ukraine, were behind the Moscow concert hall attack”.Those are serious allegations… with global implications…Regardless of who you think is telling the truth, tensions are high.
UP DATE…..
BREAKING:
🇷🇺 Uchunguzi una habari kuwa wahusika wa shambulio la kigaidi walipokea kiasi kikubwa cha pesa na sarafu ya siri kutoka Ukraine.
Magaidi kutoka Crocus ni kushikamana na huduma maalum ya Ukraine, - Sledkom
Matokeo ya awali ya uchunguzi wa shambulio la kigaidi huko Crocus yanathibitisha kikamilifu asili iliyopangwa ya vitendo vya magaidi, maandalizi makini na msaada wa kifedha kutoka kwa waandaaji wa uhalifu, Kamati ya Uchunguzi inaripoti.
Kama matokeo ya kufanya kazi na magaidi waliokamatwa, kusoma vifaa vya kiufundi vilivyochukuliwa kutoka kwao, na kuchambua habari juu ya shughuli za kifedha, ushahidi wa uhusiano wao na Wanazi wa Kiukreni ulipatikana.
Uchunguzi huo una habari kwamba wahusika wa shambulio hilo la kigaidi walipokea kiasi kikubwa cha fedha na sarafu ya siri kutoka Ukraine.
Mshukiwa 1 zaidi anayehusika katika kufadhili magaidi ametambuliwa na kuzuiliwa.
t.me/megatron_ron
View: https://x.com/megatron_ron/status/1773364653076128047?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE..
View: https://x.com/bricsinfo/status/1773583970774478942?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wewe mjukuu wa Mtume acha Propaganda uchwara. Wahalifu pekee hapa duniani ni nyie Waislam
acha kujitekenya wew hao watu 130+ plus walio tangulizwa akhera mbona uyo Russia haja fanya retaliation yoyote kwa Us ?Also nothing Biden can do to Russia
sasa wale wanaojilipua ni wakina nani?Umejuwaje kama wale ni Waislam? Muislam haruhusiwi kuua bila sababu. Na sababu zake ni mbili tu, au vita au kisasi.
hayo makundi yote ni ya waisilam marekani hausiki hapo shekheNgoja wala nguruwe waje kupinga....Watu duniani kote wanajua Marekani ndio anatuma hayo makundi 😅😅View attachment 2946541