babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Kwanini wajifiche nyuma ya ISIS!?How? Isn’t the FSB head claiming the US was involved in the recent attack?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wajifiche nyuma ya ISIS!?How? Isn’t the FSB head claiming the US was involved in the recent attack?
Basi putini na alenge japo jiwe kule litue Uengereza ama United StatesWanaukumbi.
Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow".
Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...
.![]()
Info-Flash - United Kingdom : Actualités
United Kingdom - Accédez en temps réel à toutes les informations locales et nationales, telles que les événements sportifs, les emplacements des défibrillateurs, les sorties, les actualités ainsi que les alertes locales et nationales.www.info-flash.com
---
Russian Federal Security Service Chief said today, “the US, Britain, and Ukraine, were behind the Moscow concert hall attack”.Those are serious allegations… with global implications…Regardless of who you think is telling the truth, tensions are high.
Kwa hali ya sasa ya mambo hata Trump hawezi, vyama viwili vya Marekani siku zote huwa vina agenda moja (Ruling elites ni wale wale) tofauti huwa ni strategiesRussia hawezi kuongea kitu ambacho hana uhakika nacho,
Trump ndiyo mtu anaeweza kuja kumaliza huu mgogoro kwa kiasi flani, siyo hiki kizee
🇷🇺🇺🇦 Kitu kikubwa kitatokea katika siku za usoni.>>>>>>>>>>>>>>>>
so Putin na uyo mkuu wa intelligence ww Russia wanaamuaje kama us ameshiriki?
🇷🇺 🇺🇦 Urusi inasema magaidi waliofanya shambulizi huko Moscow walipokea kiasi kikubwa cha pesa taslimu na pesa taslimu kutoka Ukraine.Russia hawezi kuongea kitu ambacho hana uhakika nacho,
Trump ndiyo mtu anaeweza kuja kumaliza huu mgogoro kwa kiasi flani, siyo hiki kizee
Kumekucha tena….Umejuwaje kama wale ni Waislam? Muislam haruhusiwi kuua bila sababu. Na sababu zake ni mbili tu, au vita au kisasi.
BREAKINGAlso nothing Biden can do to Russia
Ni wanafiki sana.... Israel alipovamia Palestina unaambiwa ni halali kisa walishambuliwa "kigaidi". Cha ajabu Russia akijibu mapigo utasikia kelele kibao.Huu uzi ni mchungu kwa wafuasi wa upinde wanachungulia kwa mbali kama nguchiro hawataki kabisa kusikia hizi habari, Putin hacheki na nyani safari hiii.
Picha za hawa jamaa zinachekesha kwakweli, japo sio mazuri🇷🇺 Magaidi hao watakabiliwa na hali ngumu ya kuwekwa kizuizini
Hii ilisemwa na katibu mtendaji wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Umma ya Moscow, Alexey Melnikov.
"Kwa maisha yao yote, watakuwa kwenye kile kinachojulikana kama jeneza (hiki ni chumba cha 4-6 sq. m), watalazimika tu kusonga kwa kuinama na mikono yao nyuma ya migongo yao. hataweza kuwasiliana naye,” alisema. - Ostashko anaripoti
Marekani, Uingereza, Ukraine Magaidi wakubwa wamewatumia hawa vijana kwa maslahi yao wanakwenda kuteseka sasa.
Hawana wanachofahamu zaidi ya mkumbo wengi hawana ufahamu wanasukumwa na ushabiki mandanzi mfano umeona kwenye huu uzi wafurahia magaidi kukamatwa lakini hawataki kusikia habari zozote kwa waliowatuma mabwana zao hawataki waguswe 🤣Ni wanafiki sana.... Israel alipovamia Palestina unaambiwa ni halali kisa walishambuliwa "kigaidi". Cha ajabu Russia akijibu mapigo utasikia kelele kibao.
I used to sympathise with Ukraine ila tokea double standards za Gaza, hakuna wakati natamani hawa Pro-US watandikwe kama sasa.
Kumekucha Putin mtu wa Shoka..Basi putini na alenge japo jiwe kule litue Uengereza ama United States