Biko Njayo
New Member
- Dec 8, 2021
- 3
- 1
Duuuuh!! Kweli hakuna mkamilifu ndugu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apigwe na mateke kama jiwe alivyoshauriAkihukumiwa, akafungwe ktk gereza hilo hilo, wafungwa wafaidi, na pia akavune mahindi ya msimu ujao kama mfungwa, sio mkuu wa gereza tena
Kweli haya mambo yapo sana wanaua halafu mnaambiwa alikufa kwa ugonjwa gani sijui ila nadhani ni mzoefu wa matukio Kama hayo ila arobaini yake ndio ilifikaHapo huyo bwana jela hakua na mahusiano na maaskari wenzake mbona wengi wanafia jela kwa kipigo na ishu zinazimwa kimya kimya.
Mkuu mbona nasikia wafungwa wa maisha huwa hawatolewi gerezani kwenda nje kufanya kazi, sasa inakuwaje hapo?Kwahayo mauji akipata bahati akipewa adhabu ya kunyongwa hataenda kulima wana gereza lao special nasema ana bahati kwa sababu sahivi atunyongi tena so atalala pazuri na kupata gazeti kila asubuhi na mlo wenye afadhali tofauti na wenzake hawa wa adhabu za kawaida
Ila kama akifungwa maisha basi jembe litamuhusu
Kutishia kwa silaha ni kosa lisilovumilika jeshini.Askari hawapendani kwa sababu ya zile orders wakati mwingine huoneana kwahyo wengi wanaishi kwa chuki.
Kuna matukio ya askari wa chini kukoki silaha kuwatishia waliowazidi vyeo maana askari wa chini huonewa inafika hatua wanachoka liwalo na liwe, hii ni ipo majeshi almost yote hapa kwetu
Wanafanya kaziMkuu mbona nasikia wafungwa wa maisha huwa hawatolewi gerezani kwenda nje kufanya kazi, sasa inakuwaje hapo?
Wafungwa wa maisha na kifungo kirefu wote wanatoka kufanya kazi sikuhiziMkuu mbona nasikia wafungwa wa maisha huwa hawatolewi gerezani kwenda nje kufanya kazi, sasa inakuwaje hapo?
Wanatoka na waHata maisha na miaka 30 hawatoki nje ya gereza...wanakua ndani...mtu anaefungwa maisha ukimtoa nje anaweza kutoroka maana hana cha kupoteza...
Dah🤔!Wafungwa wa maisha na kifungo kirefu wote wanatoka kufanya kazi sikuhizi
Hayo mawasiliano yakifuatiliwa vizuri yataipunguzia serikali usumbufu katika kupata ushahidi wa kutosha, mwache azidi kujikaangaKwa sasa Sindani yumo mahabusu katika Gereza la Mkoa wa Lindi lakini pamoja na hatua hiyo taarifa za uhakika zinadai akiwa huko anatumia simu ya mkononi kuwasiliana na watu walioko nje.
“Hakuna sheria inayoruhusu mtuhumiwa aliyeko mahabusu kukaa na simu au mawasiliano ya aina yoyote, wala kufanya mawasiliano ya simu na watu walio nje ya gereza bila kibali cha bwana jela.
“Hili linafanyika kwa Sindani, ameingia na simu mahabusu, anaitumia kuwasiliana na watu. Tunajiuliza jeuri ya kumiliki simu akiwa mahabusu anaitoa wapi? Ipo shaka kwamba huenda anatumia simu hiyo kuwasiliana na vigogo wanaosadikiwa kuwa karibu yake ili wamsaidie kujinasua katika kesi hiyo,” amesema mtoa taarifa wetu hivi karibuni.