Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale kortini kwa mauaji

Hapo huyo bwana jela hakua na mahusiano na maaskari wenzake mbona wengi wanafia jela kwa kipigo na ishu zinazimwa kimya kimya.
Kweli haya mambo yapo sana wanaua halafu mnaambiwa alikufa kwa ugonjwa gani sijui ila nadhani ni mzoefu wa matukio Kama hayo ila arobaini yake ndio ilifika
 
Mkuu mbona nasikia wafungwa wa maisha huwa hawatolewi gerezani kwenda nje kufanya kazi, sasa inakuwaje hapo?
 
Kutishia kwa silaha ni kosa lisilovumilika jeshini.
Adhabu yake ni kufukuzwa kwa aibu, sasa sijui ni jeshi gani hilo linaloweza kulea askari mtovu wa nidhamu kupitiliza kiasi hicho!
 
Hayo mawasiliano yakifuatiliwa vizuri yataipunguzia serikali usumbufu katika kupata ushahidi wa kutosha, mwache azidi kujikaanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…