Mkuu wa HAMAS apoteza mwanaye na ndugu baada ya bomu la Israel kupiga kwake

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi kwenye mafichoni, kawaanika tu kizembe, haya wamewahishwa mbele za haki.

Israeli wanaendelea kupiga, na hapo bado hawajakaa wapange jinsi ya kuanza kulipiza kisasi

================================
Israeli airstrikes in Gaza overnight were said to hit the home of relatives of Mohammad Deif, the Hamas military commander, in a the Qizan an Najjar neighborhood in Khan Younis.

Citing Palestinian reports, a number of Hebrew media say Israeli jets struck the home of Deif’s father, killing the terrorist’s brother, his son, and the brother’s granddaughter.

Walla cites a report by the Lebanese news network Al Mayadeen, which is associated with Lebanese terror group and Iranian proxy Hezbollah.
According to Al Mayadeen, an unknown number of relatives were in the home in Khan Younis and were trapped in the rubble.
 
Solution ni tatu either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Waarabu waache ubinafsi wawachukue ndugu zao kuliko kuwaacha wauwawe wengi hawana hatia bali ni wahanga tu wa udhalimu.
Au waachwe wauwane atakaemmaliza mwenzio ndio apewe haki.
Wasomali hawakushaurika waliachwa wakauwana hadi wamechoka kuuwana wamepumzika.
Shetani ndie aletae vita ili kupata damu kwenye vita wanauhakika wa kupata lita nyingi sana za damu tofauti na ajali.
Wasomali na wasudani waliachwa wauwane wakapigana hadi wakachoka wenyewe.
 
Huyu huyu mkuu wa hamas anaekula bata akiishi kifahari
Screenshot_20231011-072707.png
 
Shetani ndie aletae vita ili kupata damu
Sasa shetani anahusika vipi huko kwa wayahudi na Palestinian wao wenyewe washinde kutumia vyema medula zao asingiziwe shetani kweli..sio haki kwakeli..!
 
Nasikia Nyau kapandisha manyoya et kwamba hao rats hawatasahau maisha yao yote!!!

Wanatuongezea vitabu vya kusoma
 
Sijui nani aliwashauri hamas vibaya kuchokoza mzinga wa nyuki bila mavazi ya nyuki.
Amri ya 11 ya shetani inasema.
" usimchokoze mtu,usimdhulumu mtu,usimtendee mabaya mtu, lakini endapo atakuanza wewe mlipizie mara tatu yake ili kesho asirudie Tena" ndo wanachofanya wayahudi kutembea na mstari huu,wao Wana msemo damu ya muisraeli mmoja inarudishwa kwa damu za adui mia moja
 
Israel 1500 vs wapalestina 1000
 
Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi kwenye mafichoni, kawaanika tu kizembe, haya wamewahishwa mbele za haki.

Israeli wanaendelea kupiga, na hapo bado hawajakaa wapange jinsi ya kuanza kulipiza kisasi

================================
Israeli airstrikes in Gaza overnight were said to hit the home of relatives of Mohammad Deif, the Hamas military commander, in a the Qizan an Najjar neighborhood in Khan Younis.

Citing Palestinian reports, a number of Hebrew media say Israeli jets struck the home of Deif’s father, killing the terrorist’s brother, his son, and the brother’s granddaughter.

Walla cites a report by the Lebanese news network Al Mayadeen, which is associated with Lebanese terror group and Iranian proxy Hezbollah.
According to Al Mayadeen, an unknown number of relatives were in the home in Khan Younis and were trapped in the rubble.
Sema waisraeli wengi wamekufa sana zaidi ya 1500
 
Back
Top Bottom