PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
YEye anaishi zake huko Doha, Qatar
This time serikali ya Qatar itatakiwa imkabidhi au na yenyewe isambaratishwe na huo uwe ndiyo mwisho wa harakati za Qatar kuimarika na kubaki kama nchi ambayo haikuwahi kuandaa World Cup hivi karibuni.
Ndiyo maana Qatar wakajiwahi kuibembeleza Marekani kuwa yenyewe izikutanishe pande hizo mbele kwa ajili ya mazungumzo ya kusitisha vita, US akawapotezea kama vile hakawasikia.
This time, hii game inaondoka na wengi.