Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Mkuu wa dunia hii ni MUNGU wa mbinguni, ila asilimia kubwa ya watu wanamuabidu shetani na Mungu anepewa kisogo.
Ngoja nikueleze kitu. Kuna vitu vya kwanza kabisa ni lazima uviwahi ili uiteke hii dunia. Shetani kapiga bao kubwa kwa sababu vitu vyote katika dunia hii, vile vikubwa amevishikilia yeye.
Hii inamaanisha nini? Atautawala ulimwengu kwa namna anavyotaka yeye. Ili ukitaka kujua hili, mngeitafuta ile documentary ya siri ya CIA inayoitwa ADAM AND EVE.
Vitu vyote vikubwa ambavyo vinatawala hii dunia, vinamilikiwa na watu wanaomuabudu shetani. Hebu hesabu kwanza.....
Fuatilia wale viongozi wanaoiendesha NASA.
Fuatilia Apple, Google, Microsoft, kampuni zote kubwa zipo chini ya hawa watu ambao wewe unawajua kama illuminati.
Hawa Blackrock, State Street na Vanguard ndiyo wanaoiendesha dunia mpaka sasa hivi. Nyuma yake kuna watu wakubwa na wazito ambao ukiambiwa, hutoamini masikio yako.
Vanguard, state Street na Blackrock ndio wanashikilia kampuni kubwa zote duniani. Apple, Microsoft, Amazon, Meta na mengine. Kivipi?
Hawa ndio share holders wakubwa kwenye kampuni zote kubwa duniani. Ukisikia Vanguard, State Street na Blackrock jua umezungumzia madude makubwa duniani. Wao wana hisa kubwa mpaka benki ya dunia, yaani wakisema tunafanya hivi, wanafanya mara moja. Nakushauri nenda Google kawasome sana hawa Vanguard, State Street na Blackrock uwajue vizuri na mambo yao.
Sasa hao akina Vanguard wanamilikiwa na nani? Nenda kajifunze Google mkuu.
Unaposikia watu ni mashetani ndio hawa sasa. Na hawa ndiyo wanaishikilia dunia, na ndio mailluminati wakubwa, tena wale wenye digrii nyingi.
Hawa watu wanaishikilia mpaka NASA halafu hapohapo unataka jamaa waibuke na wakwambie ukweli! Lini shetani akasena ukweli?
Hii dunia sisi ni wasindikizaji tu, kuna watu wao ndio wanafanya wanalotaka. Kapekuepekue kidogo uone ni kwa namna gani hawa watu wana nguvu kwenye hii dunia, halafu pekua ujue hawa wapo chini ya nani na nani.
Unaijua Bitcoin? Watu wanasema muanzikishaji hajulikani. Kuna mzee fulani pale Marekani alipokuwa anahojiwa akasema endapo nitakwambia ni nani aliianzisha hii Bitcoin, mara moja ungechomoka haraka sana huko.
Watu wana nguvu. Huwezi kuizuia Bitcoin kwa sababu ni mpango mkakati wa NWO.
Wazee kuna mengi sana sema nini! Jueni kwamba vitu vyote vikubwa unavyoviona kwenye dunia hii vipo chini ya illuminati. Yaani huwezi kuwakimbia na hawawezi kujwambia ujweli hata kidogo, kuna taarifa nyingi sana wanakuficha, na wale wanaojaribu kuzitoa kwako, wanamdedisha haraka sana.
Wao wanakupa umaarufu, wao wanauchukua, wao wanakupokonya uhai na kuipa clonning yako uhai.
Dunia tambara bovu.