Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Habari kwenu ndugu zangu.
Aliyekuwa mkuu wa Idara ya Uchumi wa Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam amefariki Dunia mapema leo.
Dkt. Mtengwa alifariki katika hospital ya Muhimbili alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwao Masaki DSM.
Pumzika kwa amani Dkt. Mtengwa poleni wanataaluma.