TANZIA Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo cha Diplomasia, Dkt. Ahmed Mtengwa afariki dunia

TANZIA Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo cha Diplomasia, Dkt. Ahmed Mtengwa afariki dunia

Habari kwenu ndugu zangu.

Aliyekuwa mkuu wa Idara ya Uchumi wa Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam amefariki Dunia mapema leo.

Dkt. Mtengwa alifariki katika hospital ya Muhimbili alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwao Masaki DSM.

Pumzika kwa amani Dkt. Mtengwa poleni wanataaluma.
Huyo anamaradhi yake tokea kitambo sana.
 
Alikuja siku moja ofisini kwangu kuniuliza aina bora ya washing machine ili anunue nikamuelekeza vizuri
Nasikia alikuwa mzima mpaka hiyo jana anafariki vitoto vimeenda shule kama kawaida vimeenda chukuliwa baba alipofariki,ila alinenepa sana Ahmed japo ahadi ikifika huwezi zuia
 
Baba yake huyu Dr Mtengwa alipambana sana na Jk kwny ubunge wakati Jk anaingia bungen kwa mara ya kwanza
 
hivi kwanini hii kitu inapenda unene aka mafuta kuna mwana jamvi mwenye kujua kwanini
 
Kwa sababu tunakanusha kila kitu ndio maana tunashindwa kushauri watu waliokuwa na close contacts kujitenga kwa muda kwa tahadhari, vingenevyo tunasambaza tu wengine wako strong wengine dhaifu. Kama leo nimeona confernce ya Simba yaani Hajj Manara anasogeza tu pua kwa kocha hana hata wasi wasi kuwa tukae kuwacha nafasi kidogo, wanapumuliana tu.

Hatari Sana...
 
Alikuwa anapenda kutembea na Radio call
Sijui ya Kazi gani
 
Back
Top Bottom