Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Adui kavamia nyumbani baba kazama uvunguni mama na watoto ndio wanapambana [emoji1]
Ukimaanisha kajiificha Cha***Ukisoma kwa Bible kuna story ya Yona, sasa walivyona Jahazi inazama na watu wote wako busy kusaidia jahazi isizame ndiposa wakagundua kuwa iko simblisi moja imetulia, hata haijitingishi. Kura zikapigwa na kura za kishindo zikampata yeye wakaaamua kumtosa kwa bahati Na bahari ikawa shwari Mara moja.
Mutafuteni Yona wenu Tz, lazima Kuna Yona. Huenda amejificha pahali mimi sijui.
Wao wanajali nyomi tu watu wajaeKwa sababu tunakanusha kila kitu ndio maana tunashindwa kushauri watu waliokuwa na close contacts kujitenga kwa muda kwa tahadhari, vingenevyo tunasambaza tu wengine wako strong wengine dhaifu. Kama leo nimeona confernce ya Simba yaani Hajj Manara anasogeza tu pua kwa kocha hana hata wasi wasi kuwa tukae kuwacha nafasi kidogo, wanapumuliana tu.