TANZIA Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo cha Diplomasia, Dkt. Ahmed Mtengwa afariki dunia

Huyo anamaradhi yake tokea kitambo sana.
 
Alikuja siku moja ofisini kwangu kuniuliza aina bora ya washing machine ili anunue nikamuelekeza vizuri
Nasikia alikuwa mzima mpaka hiyo jana anafariki vitoto vimeenda shule kama kawaida vimeenda chukuliwa baba alipofariki,ila alinenepa sana Ahmed japo ahadi ikifika huwezi zuia
 
Baba yake huyu Dr Mtengwa alipambana sana na Jk kwny ubunge wakati Jk anaingia bungen kwa mara ya kwanza
 
hivi kwanini hii kitu inapenda unene aka mafuta kuna mwana jamvi mwenye kujua kwanini
 

Hatari Sana...
 
Alikuwa anapenda kutembea na Radio call
Sijui ya Kazi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…