Mkuu wa IDF wapiganaji 1,500 wa Hezbollah wauawa, wengi wanajisalimisha, mfadhili wao Iran haamini kinachotokea Lebanon

Wapigwe tu
 
God bless Israel.

Aluta continua, Vitoria e certa.

Kazi iendelee, inasemekana hao Magaidi wapo kama 100K ivi.
 
Umekutana nao wapi wakakulalamikia?
media censored in Israel?


Articles concerning potentially controversial topics must be submitted to the Israeli Military Censor in advance; failing to do so may cause the reporter to lose his right to work as a journalist in Israel and, in the case of foreign reporters, to be barred from the country.
 
100k bila silaha?
Myahudi kachakaza zana zao zote
Unaota wewe kila siku silaha mpya zinabamiza Israel afu useme amechakaza silaha,? Jitahidini kutafuta habari ili unapokuja kuchangia humu kidogo uwe inaeleweka unaongea nin. Sasa hivyo vifaru wanavyochoma boda wanavochmaje bila silaha
 
Wapo watu watawasujudie kama hao ni wateule.
Wayahudi wengi wanakimbia kutoka Israel. Wanaharisha wanaogopa kufa,
Uchumi wao unadidimia.
Wayahudi wanaua raia ovyo kwa kulewa kiburi cha mwanaharamu wao aliyewapa billions za dollar silaha za bure. Huyu Natanyahu hajali mateka wao anapenda vita isiishe kwa sababu ansogopa kuna kesi ya rushwa. Hajashiba damu. Hawa ushetani wao umewapa taabu sana. Cheki historia yao. Walishafukuzwa kutoka nchi mara 1035. Sio zamani mkiristo hitler mjerumani aliwaua million 6,
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…