Mkuu wa Intelijensia wa CHADEMA kanda ya Serengeti pamoja na M/kiti wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle wajiunga na TLP

Mkuu wa Intelijensia wa CHADEMA kanda ya Serengeti pamoja na M/kiti wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle wajiunga na TLP

Hivi wewe, timu unapoona huwezi kupata namba unafanyaje zaidi ya kusaka namba timu ya daraja la chini?
Ni kweli Ila Kama timu Ni Bora Ina viwango kwanini wachezaji na benchi la ufundi wanaikimbia kila siku? Na hakuna wachezaji Wala viongozi wanaojiunga na hiyo timu zaidi ya kuikimbia?
 
Watanzania wenzetu wasalaam,

Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA

1. Oscar Kaijage Kaindoa

2. Bi Anna Dulle


Mzee Mrema wewe bhana! Pole sana! Kwanini hamtafuti wanachama wa ccm? Mrema ulitudanganya tukasukuma gari yako na kupigwa mabomu, kumbe ni wale wale tu. Kama unavuruga upinzani kwa namna hii unayofanya, historia inaweza kuja kukuweka pabaya mzee.
 
Kwani Membe Chadema si wamuchukue, au wanaogopa kumuambia wataonekana kama ma dada poa
 
Back
Top Bottom