Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangekuwa na akili wangeenda Tlp?Wenye akili wanazidi kulikimbia jumba bovu
Chadema kwishilia mbali kinapoteza tu hakuna wanaohamia!!!! Kimefikia mwisho wa kupendwa yaani watu wanaona heri waende TLP kulikokubaki CHadema aiseeee
Hapo mnunuzi ni ccm
Acha wivu wa kisiasa. Watanzania wameshajua Chadema ni matapeli wa kisiasa. Mlikuwa mnagawana ruzuku kama vile nyama choma.Naona michepuko ya ccm na nyie mmeiga siasa za mume wenu kupata wanachama lakini cdm tu!
Wanajitambua ndio maana wameliacha jumba bovuWangekuwa na akili wangeenda Tlp?
Acha wivu wa kisiasa. Watanzania wameshajua Chadema ni matapeli wa kisiasa. Mlikuwa mnagawana ruzuku kama vile nyama choma.
Ina maana chadema Ni danguro la kuuza Malaya Sababu nyie kila anayehama chadema huwa mnasema kanunuliwa Ina maana huko chadema mna danguro la madiwani na wabunge kujiuza?Kichekesho ni pale mchepuko unapofanya siasa kama za mume wake. TLP hawapati wanachama toka Tadea, ccm, APPT maendeleo, jahazi nk, bali wanapata toka cdm tu. Hizo ni mbinu za kizee ile mbaya.
Sio siasa zilizopitwa na wakati. Hawataki utapeli wa kisiasa.Ni kweli, si ndio maana michepuko ya ccm nayo inafanya siasa zilizopitwa na wakati?
Acha wivu wa kisiasa. Watanzania wameshajua Chadema ni matapeli wa kisiasa. Mlikuwa mnagawana ruzuku kama vile nyama choma.
Watanzania wenzetu wasalaam,
Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA
1. Oscar Kaijage Kaindoa
2. Bi Anna Dulle
Payroll Lumumba!!Watanzania wenzetu wasalaam,
Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA
1. Oscar Kaijage Kaindoa
2. Bi Anna Dulle
Ina maana chadema Ni danguro la kuuza Malaya Sababu nyie kila anayehama chadema huwa mnasema kanunuliwa Ina maana huko chadema mna danguro la madiwani na wabunge kujiuza?
Malaya yeyote ana mvuto narudi palepale Ina maana nyie chadema mna danguro la kuuza malaya la kufuga Malaya wenye mvuto wa kuuzia vyama vingine ikiwemo CCM ? Ina maana nyie sio chama Cha suasa Bali Ni danguro la kuuza wanasiasa wenye mvuto wa kununuliwa na CCM na vyama vingine? Ina maana mlidanganya msajili kuwa mnasajili chama Cha siasa kumbe mnafungua danguro la kuuza wabunge na madiwani wenye mvuto kwa vyama vingine?Cdm ina watu wenye mvuto, hivyo vyama vilivyopoteza mvuto vikiongozwa na ccm, vinadhani vikiwanunua watu wa cdm watapata mvuto. Kutokana na vyuma kukaza, hakuna mtu anaweza kuacha hela za mabwege.
Malaya yeyote ana mvuto narudi palepale Ina maana nyie chadema mna danguro la kuuza malaya la kufuga Malaya wenye mvuto wa kuuzia vyama vingine ikiwemo CCM ? Ina maana nyie sio chama Cha suasa Bali Ni danguro la kuuza wanasiasa wenye mvuto wa kununuliwa na CCM na vyama vingine? Ina maana mlidanganya msajili kuwa mnasajili chama Cha siasa kumbe mnafungua danguro la kuuza wabunge na madiwani wenye mvuto kwa vyama vingine?
Kwa hiyo chadema ni danguro la mnada wa malaya wa kisiasa? Kuwa mwenye Bei ya juu anachkukua Malaya wa kisiasa awe Diwani, mbunge au mgombea uraisi?Hata ww unaweza kuacha hela za Mabwege? Kwa mfano unaachaje 1m+ za bwerere, wakati unaweza kuhama muda wowote? Hata mimi nikiletewa naunga mkono kinafiki, kisha navuta mpunga.
Kwa hiyo chadema ni danguro la mnada wa malaya wa kisiasa? Kuwa mwenye Bei ya juu anachkukua Malaya wa kisiasa awe Diwani, mbunge au mgombea uraisi?