Timoth Mpinge
Member
- Nov 7, 2016
- 6
- 3
Atumbuliwe huyo....ameonyesha utovu wa nithamu.Kwa nn anunue uniform nje wakati magereza wana msfundi wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari mmeshatoka pangoni!Hamtaki kuguswa mmesoma,mnastahili kuwekwa nyie tu sehemu zote,sasa mnatumbuliwa kila sehemu mnalia kimya kimya jamaa hawapendi!
Wewe unaelaani kushambuliana kiukabila,nioneshe post yako moja tu uliolaani kikwtete kuitwa mkwere humu
Kesha fikia umri wa kustaafu huyo!! Akiondolewa haitakuwa kwa sababu ya kutumbuliwa bali umri .... ilikuwa astaafu tangu mwaka jana kama sikosei!!Wana JF,
Kutokana na safari ya kikazi alioifanya Mh Rais katika magereza jana Ukonga na kubaini yafuatayo;
1. Askari magereza kununua sare za jeshi lao kwa watu binafsi
2. Jeshi la magereza kushirikisha watu binafsi katika ujenzi, hali hii ilimchukiza Mh Rais.
Aidha kutokana na machukizo hayo ni dhahiri Mh Rais atatengua uteuzi wa Mkuu wa jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali John Casmir Minja.
Labda hilo jina la mwisho,ndio itakua sababu. Kubwa kabisa ya kutumbuliwa.Wana JF,
Kutokana na safari ya kikazi alioifanya Mh Rais katika magereza jana Ukonga na kubaini yafuatayo;
1. Askari magereza kununua sare za jeshi lao kwa watu binafsi
2. Jeshi la magereza kushirikisha watu binafsi katika ujenzi, hali hii ilimchukiza Mh Rais.
Aidha kutokana na machukizo hayo ni dhahiri Mh Rais atatengua uteuzi wa Mkuu wa jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali John Casmir Minja.
Billion 62 unifomu za polisi, tena bora hizo za Magereza hata kama zimeagizwa kwa mtu binafsi lakini zililetwa!
Kipi cha kilichopita mikopo ilikua wazi,labda kachukua mkopo.ila huyu mzee Minja anaonekana mpigaji maana kule Salasala kaporomosha majumba afu anaishi kama mfalme
Nilimuona Mkulu akiisema hii hadharani na kunakiliwa na media!Duuh ngoja Mhasibu Mkuu wa polisi aje ajibu hiyo kali sana na mkuu anawalia timming
4:1 .apana ni kwaya
Hats akitumbuliwa Leo bado kwa mujibu Wa sheria atapata gari la kutembelea,mlinzi na Nyumba ya kukaa na 80%,ya mshahara anaoupokea sasa kwa kufikia tu cheo cha KamishnaIliwezekana na DCI sembuse huyo wa magereza tu
Si kweli mkuu,huwa sielewi kwanini jeshi la magereza tangu lianze linaongozwa na wachaga sijajua nikwasababu gani sijui sijui nikwanini yani tangu lianzishwe.
itakua wa juzi juzi anawakumbuka kina malisa.nanyaro.minjaSi kweli mkuu,
Nawakumbuka wafuatao
1.Mwangisi
2.Mangara
3.Banzi
4.Mwanguku
Huu ujinga mnapata wapi? Umeandika wakuu wa majeshi! DCI ni mkuu wa jeshi? La polisi au la jkt? Nyumbu wewe
Uwezo wako wakufikiri nimdogo sana aiseeKumbe nalo magereza ni jeshi?
ilachakushangaza viranja wazamu waliopita wanaachwa wapumzikeTenda hizo , na yeye aliukuta huu utaratibu . Makampuni yaliyokuwa yatapata tenda kilio kwao . Nimekumbuka uniform za wafanyakazi wa Air Tanzania zilikuwa zinashonwa nje ya nchi , wakati shirika lilikuwa na ndege moja tu . Ila kusema kweli watu walikula sana pesa ya umma .
Mkuu hao Viumbe hawaguswagi kabisa Kabisa Kabisa Kabisa.Wana JF,
Kutokana na safari ya kikazi alioifanya Mh Rais katika magereza jana Ukonga na kubaini yafuatayo;
1. Askari magereza kununua sare za jeshi lao kwa watu binafsi
2. Jeshi la magereza kushirikisha watu binafsi katika ujenzi, hali hii ilimchukiza Mh Rais.
Aidha kutokana na machukizo hayo ni dhahiri Mh Rais atatengua uteuzi wa Mkuu wa jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali John Casmir Minja.
Unamfananisha DCI na CGP ?Iliwezekana na DCI sembuse huyo wa magereza tu
Pale makongo zile bucha za noha, na yale maduka ni yakina nani vileYataje.1= Magereza
2=?
3=?