Tetesi: Mkuu wa jeshi la Magereza nchini huenda akatumbuliwa

Atumbuliwe huyo....ameonyesha utovu wa nithamu.Kwa nn anunue uniform nje wakati magereza wana msfundi wao?
 

Mkuu acha hasira. Huu mchezo hauhitaji hasira! Tulia ujipange ati.
 
Kesha fikia umri wa kustaafu huyo!! Akiondolewa haitakuwa kwa sababu ya kutumbuliwa bali umri .... ilikuwa astaafu tangu mwaka jana kama sikosei!!
 
Labda hilo jina la mwisho,ndio itakua sababu. Kubwa kabisa ya kutumbuliwa.
 
Iliwezekana na DCI sembuse huyo wa magereza tu
Hats akitumbuliwa Leo bado kwa mujibu Wa sheria atapata gari la kutembelea,mlinzi na Nyumba ya kukaa na 80%,ya mshahara anaoupokea sasa kwa kufikia tu cheo cha Kamishna
 
huwa sielewi kwanini jeshi la magereza tangu lianze linaongozwa na wachaga sijajua nikwasababu gani sijui sijui nikwanini yani tangu lianzishwe.
Si kweli mkuu,
Nawakumbuka wafuatao
1.Geneya
2.Mangara
3.Banzi
4.Mwanguku
Kwa usahihi zaidi
Obadia Rugimbana(62-66) huyu ni baba yakemzazi Jordan Rugimbana Dc Kinondoni,Ramadhani Nyamka(67-77),Gabriel Ganja Geneya (77- 83 or 82),Simon Mwanguku,Jumanne Mangara,Ornel Mallisa( Benno Mallisa dad...tetesi am not sure),Nicas Banzi 2001-2007( Huyu ndo alitoka kwa aibupamoja na waziri wake Omari Mapuri baada yakupiga waandishi wa habari) halafu Agustino Nanyaro 2007 mpaka 2012 kamuachia Fidelis Mboya anayekaimu kuanzia May


Note:
..........kuanzia Uhuru jeshi liliongozwa na Commisioner of Prisons ila muundo ulikuja kubadilishwa mwaka 1974 na mkuu kuwa Commisioner General of Prisons na hivyo basi kumfanya RamadhaniNyamka kuwa mtanzaniawa kwanza kushika cheo hicho

.........graduate wa kwanza(Degree holder) kwenye majeshi yote ya Tanzania alitokea Magereza, Commisioner Ganja Geneya
 
Huu ujinga mnapata wapi? Umeandika wakuu wa majeshi! DCI ni mkuu wa jeshi? La polisi au la jkt? Nyumbu wewe

Soma vizuri sio wakuu wa majeshi bali ni mkuu wa jeshi la Magereza makengeza wee
 
ilachakushangaza viranja wazamu waliopita wanaachwa wapumzike
 
Mkuu hao Viumbe hawaguswagi kabisa Kabisa Kabisa Kabisa.
By the way,CGP alishastaafu since Mwaka jana akapewa one year extensio n
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…