Mugorewawe
Member
- Jul 14, 2023
- 70
- 88
Bwana yesu asifiwe kaka[emoji16][emoji16], I like to see your comments brother, not n a bad way.I was just reading this on the current edition of The New Yorker.
Inside the Wagner Group’s Armed Uprising
How Yevgeny Prigozhin’s private military company went from fighting alongside Russian forces in Ukraine to staging a mutiny at home.www.newyorker.com
Straight to ignore list.Bwana yesu asifiwe kaka[emoji16][emoji16], I like to see your comments brother, not n a bad way.
Tumsifu shetani kaka.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Punguza makasiliko Sheikh, Mshenzi ni mama yako aliyesahau matumizi ya condom mpk ukazaliwa binadamu instead of cockroach.Straight to ignore list.
Kupunguza interactions na washenzi, kuanzia hapa sitaona post zako.
Unaishi na jamii kweli? Alafu kumjibu vibaya mtu usiyemjua unakuwa na amani kabisa? Mtu akikujibu vibaya usimrudishie majibu mabaya.Punguza makasiliko Sheikh, Mshenzi ni mama yako aliyesahau matumizi ya condom mpk ukazaliwa binadamu instead of cockroach.
Alafu ww usipoona post zangu inakusaidia Nini, Embu kafie kwa LGBT wenzako.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Naishi na wanyama chief, alafu mtu akinijibu vibaya ni haki yangu yamsingi kumjibu vibaya pia, Mtu nisiyemjua nina uhakika nayeye hanijui pia, wht if angenijua asingenijibu vibaya.Unaishi na jamii kweli? Alafu kumjibu vibaya mtu usiyemjua unakuwa na amani kabisa? Mtu akikujibu vibaya usimrudishie majibu mabaya.
Kho kho kho!,chukua chako mapema,wanarithishana tu uongoziMapinduzi ya kijeshi NDIO suluhu la upumbavu wa Waafrika wengi hasa Yale mavyama yanayojiona ya milele
Maoni ya kijinga ya mtu aliekata tamaa,asie jiamni,dhaifu,hufai kuongoza jamii kwa hii akili yakoMhhh. Ufaransa ana ardhi nyingi anazomiliki( France Territories) kama ardhi yake au nchi yake nje ya Ufaransa, kuliko hizo African francocone au nchi zilizo huru kisiasa lakini zinaitegemea Ufaransa. Ufaransa haiwezi kufirisika kwa sababu ya Hizo nchi za Africa ila hizo nchi za Africa zitateseka kwa kumkosa Ufaransa. Africa haijiwezi na Watu wake ni watu wa Lawama. Hizo chini ni ardhi za Ufaransa inazomiliki katika bahari ya Hindi, Pacifiki na Attlantic, je Senegal au Ivory coast akimkataa Mfaransa, Mfaransa atafirisika?.View attachment 2707833
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
We acha tu comrade...We are TanzaniansKwamba Suriname na Venezuela ni territories za Ufaransa?