we mshirikina eehUSM 2
UTO 0
Hujamjua tu huyo?.Hiyo ni ID ya semaji la CAFwe mshirikina eeh
Ndio mkuu kuwa Kolo ama Uto haikuzuii kuwa Mzalendo.mimi ni kolo kindakindaki ila naunga mkono sapoti ya kamanda, naunga mkono hoja.... hili ni jambo la kitaifa
kabisa... tuisapoti club ya taifaNdio mkuu kuwa Kolo ama Uto haikuzuii kuwa Mzalendo.