Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Mkuu wa kituo anasema wamepata habari ya ki intelejensia kwamba mashaki wa yanga wamepanga safari ya kutoka Songea kuelekea Dar kushuhudia mechi ya Yanga na wapinzani wake.
Kufuatia safari hiyo mkuu amesema watatoa escot wanapoenda na watakaporudi na ikiwezekana wataweka na taa pale juu ya gari ili hilo bus lisisimamishwe barabaran.
Kufuatia safari hiyo mkuu amesema watatoa escot wanapoenda na watakaporudi na ikiwezekana wataweka na taa pale juu ya gari ili hilo bus lisisimamishwe barabaran.