Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda amebainisha kuwa hali ya ulinzi na usalama nchini Tanzania bado ni shwari dhidi ya matishio ya ugaidi. Hata hivyo, amesisitiza kuwa kwa vile ugaidi ni "uhalifu wa kuvuka mipaka," Tanzania haiwezi kujitenga au kujiona kama kisiwa.
Ameeleza kuwa nchi inaendelea kushirikiana kwa karibu na majirani zake, hususan Msumbiji kusaidia kupambana na magaidi waliopo Kaskazini mwa nchi hiyo (Cabo Delgado), pamoja na kupeleka vikosi vya ulinzi wa amani katika maeneo mbalimbali duniani ili kuhakikisha utulivu unakuwepo kikanda na kimataifa.
Soma pia >>